Wanawake tuache kuomba pesa 2021

Subir warudi kwa mwamposa mwaka huu wanaume tumekubaliana kudeal na wanawake wenye kazi tu
 


Weweee, hujui Mwanamke na pesa ni sawa na Samaki na Maji??!!
 
Ha ha ha ha ,ujumbe konki sana huu japo naona ke wengi wakisonya kimyakimya huku wakishindwa kuchangia,,
Najazia nyama tu ,mtoto hakuwi kwa baba yake,hivyo nywele zikifumka pesa muombe baba yako,,sisi tutawalejeshea nauli mkishafika eneo la tukio
 
We chinkychinky naona unatafuta kurogwa na wenzako sasa, eti unahusia wenzako waache kudanga na kushika mimba zisizo na tija kisa tamaa ya kutaka kutunzwa kwa kulazimisha. Wenzako wameshaweka targets kuwa mwaka huu lazima wadange zaidi ili wapate mume wa kuwaweka mjini.
 
Na wewe ulimuendekeza tu huyo kialaza wa karne, pale pale alipoanza kukulilia kuwa ana birthday inakuja in two days, ungemwambia sawa tuendelee kula kwanza. Bada ya mlo ungeenda chooni na kutokomea huko huko bila kurudi pale mezani ili alipe yeye lile deni....wanawake wa namna hii ni kuwashikisha adabu tu. Anakulilia umpe nusu milioni kwa ajili ya birthday kwani wewe ndiye uliyemzaa?
 
Day one ujue mkuu
 
Day one ujue mkuu
Mfalme Mswati bwana, hivi hujuwi kuwa nyota njema huonekana alfajiri, si unaona hata yeye demu hajachukua muda kwako ilibidi tu akupige mzinga pale pale Mgahawani kwani alishaona fursa ya kuchuna mwanamme. HAKUNA mwanamke kilaza anayeomba mizinga bila kuwa na sababu maalum. Huyo demu alishaona kapata fursa ya kukupiga mizinga ili atunze mumewe wa kitaa ama kusaidia nduguze huko kwao kijijini. Ku..ma gani ya changudoa is worth laki tano kama si ujinga huu?
 
Alikosea sana kwani hakujua timing
 
Wanawake sijuwi wana akili gani jamani....siwaelewi kwanini wanawaza kupata mwanamme ili tu wamchune na kuwa mzigo kwao? Wanawake mnaboa sana jamani, jirekebisheni kwa kweli.
 
Mwanamke hawezi kuacha kuomba pesa kwa mwanaume hata iweje. Sema unachotakiwa kuwakumbusha ni kuwa waache tamaa za vitu visivyo vya lazima.

Wasilazimishe kuwa na IPhone 12 Pro Max hadi wanaweka utu wao rehani kisa simu na simu yenyewe baada ya miaka miwili mitatu inashuka bei na kuwa kawaida na haina maana tena. Hata infix nayo ni simu, tecno nayo ni simu. So kama mtu wako uwezo wake upo katika simu ya aina fulani wewe pokea acha kucomplain, kuna wenzako wanatafuta hata wa kuwahonga ya tochi na hawampati.

Tamaa ya vitu visivyo na msingi mtu analazimisha mtoke out sehemu ya bei sana ili awapostie mashost zake. Au uwe na gari la bei na anajua hiyo kitu si rahisi.
 
Nature ifanye kazi yake.....

Ova
 
Eeeeh kabisa
Wapo kwa mwamposa kukanyaga mafuta subiri watoke

Ili tubalance hii mada mimi nawashauri pia wanaume wajifunze kutoa hela bila kuombwa[emoji28]
 
Laki mbili akasukeeee??? Haya mazombie mnayapataga wapi
 
Sema baadhi, tuheshimu kidogo we jamaa
Vizuri

Wanawake hawana aibu hata kdogo sku hz,mi kuepusha mizinga nmeamua kununua tu pale ninapohitaji ila hawa waktaa nawaangalia tu kama siwaoni
 
Laki mbili akasukeeee??? Haya mazombie mnayapataga wapi
Actually hiyo si kubwa ukiwa uko njema but...my concern is timing.
Day one unapata wapi ujasiri wa kujiachia hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…