Wanawake thibitisheni usemi huu

Wanawake thibitisheni usemi huu

Athy Sal

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
507
Reaction score
339
Habari wana MMU? Kuna usemi huu unaowahusu dada na mama zetu (wanawake). Je usemi huu una ukweli?
2b29b188876e686e1368d7dd8f12be47.jpg


Naomba kuwasilisha.
 
Mimi sio mwanamke, lakin napenda kishenz kufaham habari za wanawake.....

Ndo Maana niko hapa....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Ni ukweli, hivi unajua unaweza ukawa ushahidi lakini umesingiziwa? Aisee mie sikuhukumu mpaka nipate kauli yako
 
Ni ukweli, hivi unajua unaweza ukawa ushahidi lakini umesingiziwa? Aisee mie sikuhukumu mpaka nipate kauli yako
Duh! Sasa vipi kama nikikana kabisa na kusimamia kauli ya kusingiziwa?
 
Back
Top Bottom