Wanawake thibitisheni usemi huu

Wanawake thibitisheni usemi huu

Ni ukweli, hivi unajua unaweza ukawa ushahidi lakini umesingiziwa? Aisee mie sikuhukumu mpaka nipate kauli yako
Nashukuru sana kwa kuniamini

Yote unayo skia hata si kweli
 
Mimi napenda mana inakufanya ujue kama ni mwongo au la.
Kuna wakati unajua ukweli wote ila raha yake akuthibitishie mwenyewe na pale ndo huwa unagundua mtu wako ni mwongo kiasi gani.
Kuna wanaume hata ajue unajua alichokifanya bado atabisha mpaka mwisho.
Hawa ni kiboko aisee
 
Nikisema ukweli utanisamehe?
 
Wanawake ni kama askari polisi, wanaweza kuwa na ushahidi wote ulimwenguni, lakini wakangoja kupata uthibitisho (toka kwako).
Dah ama kwel nimepata mkalimani mpole naasiye namajivuno nashukuru sana sasa naweza kuchangia mada
 
Back
Top Bottom