venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,768
- 4,069
Na usitegemee hata sikumoja kwamba atakiri , hata umkamate na ushahidi kias gani lakini still atakataa.Ni ukweli, hivi unajua unaweza ukawa ushahidi lakini umesingiziwa? Aisee mie sikuhukumu mpaka nipate kauli yako