Mimi ndalichako simjui ni nani, au umelewa?Ndalichako atengue tu kauli madogo mrudi shule
Ni mwanamke mpambanaji kama wewe
Watajua wenyeweushauri wako wataufanyia kazi japo now wanakupopoa
Baeleze kaka. Yaani mwanamke mwenye body na sura ukifa njaa ujinga wako mwenyewe. Tumia papjchi yako kujiendeleza.Sisi wanaume vyote tunavyofanya tunafanya kwa ajili yenu (Tunafanya kazi kwa ajili ya hapo njiapanda ya miguu yenu ilipootea)
Wanawake inatakiwa mringie sana hiyo kitu maana sisi tunaihitaji sana, msiitoe toe kama pipi, itoeni kwa malengo hiyo ni bidhaa adimu sana inaweza ikakubadilishia maisha.
Nashangaa mwanamke Kajaliwa umbo mzuri, rangi nzuri, sura nzuri, na hiyo kitu tena safi, halafu anashindwa kumiliki hata kiwanja hua nawashangaa sana mnakwama wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeeeee!!!Ni mwanamke mpambanaji kama wewe
Nadhani jamaa amehisi wewe ni mwanafunzi ndio maana akasema vile. Naomba radhi Mwalimu kwa niaba yake