Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Kasome mwanzo 3:17-19 kuna kitu nimekukumbusha tuu!!!!
Not all, wengine tunapenda sana walionyoa na kubaki na natural hair zaoUkiwa umenyoa wanaona aibu hata kukufahamisha kwa rafiki.
Hapana aise nayajua majukumu yangu sihitaji kukumbushwa ukiona sijakupa ujue sina na haina maana kwamba usinipe mzigoBasi tatizo ni wewe kuhisi hasi, acha kuhisi hivyo then hisi unahudumia tu.