Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Real umeongea haswaaa.

Kuchunguzana ni kwenye uchumba. Omba simu yake, soma sms zake, uliza ulikuwa unaongea na nani, jioni/usiku omba simu ya mchumba wako ili ujue nani anapiga mara nyingi hasa mida mibaya.
Ila hapa nashauri usipokee simu zake ktk kipindi hiki cha uchumba (utaumizwa ukifanya hivyo pasipo sababu ya msingi as unaweza kutana na sauti ya jinsia tofauti na asiongee kitu akakata simu) buts soma. Hii inasaidia kujengeana imani, husaidia kuwa serious ktk mahusiano. Ukiona mchumba mwenzako anakugomea ktk simu ujue ni dalili za kusaliti.
Hii inaitwa abiria chunga mzigo wako.

Kwenye ndoa kwa kweli kuchunguzana hakuleti Afya. Ila km kuna dalili za dharau na mauzauza waweza fanya la tofauti.

Kumbuka kumchunguza mwenza (mke/mme) ni pale tu unapomtafutia sababu za kuachana naye.

Real mke wangu siwezi mchunguza eti simu. Ikitokea hivyo kifuatacho no ndoa.



Madam HONGERA umewasilisha vitu adimu
 
Kula like, afadhali umetambua hilo. Sio hawa wanawake wengine ambao mpaka simu za waume zao wanazipekua utafikiri Polisi kamshika mvuta bangi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Yaani wewe kila kitu Ni kulinganisha na wanaume.
Nahisi hata hedhi huwa unajiuliza Kama na wanaume wanapata.
Play your part na mwanaume atafanya yake.
Hata nikikuchunga namna gani utatiwa tu.!!
Mwanaume nianza kukagua simu ya mke wangu nina shida gani wakati Nina wanawake wengi!?
 
Hahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahahahahahahahahhaahhaha hebu nijitahidi niwe kama hivi uwenda nikadumu kwenye mahusisno lol...


Nilivyo na gubu hivyo simu ipigwe ukaongee chumbani asalaleeeeeeeeee vita ya hapo si ya mchezo
embu tuonane tu kwakwel maana hizi tabia zetu zinafanana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],me usiku huu nimetoka kupatanishwa na baby kwaajili ya ishu kama hii
 
Asante Sana Dada yangu Kipenzi kuwakumbusha
 
Kuna mmoja alisikia nimepigiwa simu. Na aliyenipigia alikuwa ni binti mmoja mfanyakazi mwenzangu. Basi bwana kusikia yale mazungumzo mwenzangu akasusa kula kutwa zima.
 
Hivi wanaume mbona kila kitu mnasema tunajilinganisha na nyie? Kwahiyo mnataka wake zenu wasifanye makosa ila nyie mfanye makosa si ndiyo? Naona ndo kujitofautisha mnakotaka huko
 
[emoji115] [emoji115] Huyo ndo mwanamke aliyepikika akaiva[emoji122] [emoji122]
SIO MWANAUME UNAENDA KUANGALIA MECHI SAA 4 USIKU UEFA UNASKIA "BABA NJELEKELA TUNAENDA WOTE LAZIMA".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…