Mtu kaomba ushauri nyie mnaanza kashifa si ubinadamu bt all in all only God know,ndiyo kauli ya jamaa anayoisema,jamaa hatunzwi na mwanamke kama mnavyodhan anajitegemea na msosi ananunua na kodi ya chumba anatoa na aliyetaka waish wote ni demu mwenyewe over! Out of hapo endeleen na kashfa zenu wanawake hamna shukran dunian hapa tunapta tu,nyambafu pesa ztakufksha wapi?jamaa yng namuonea huruma he is a man of ze people.
Mwanamke "RAFIKI YAKE NI HELA",Kuwa na kipato kizuri ili ikusaidie pia kulinda heshima na maisha mbele...unafikiri vitu vizuri hawavioni?hawavitamani,halafu yeye ndo analeta home kwa jasho....acha utani bwana na hii kitu.
usigeneralize kaka, km jamaa yako kapata bahati mbaya ya kupata dem kimeo sio wote wenye tabia hizo. Wanaume pia wapo wasio na shukrani km huyo dada.
Cha msingi jamaa yako afungue akili kuwa kadondokea pabaya so achape mwendo. Sio mda wa kubebana huu kwa mtu asiekupenda eti unamvumilia na unampenda. Upole mwingine ni kama ufala na uzumbukuku. Achemshe akili yake kabla hajampa mimba maana atajikuta anazidi kuzubalia hapo.
dahhhh! pole yake huyo jamaa yako, ila iko hivi mwanmke yyte katka kizazi hiki cha nyoka yupo KIMASLAHI ZAIDI kubali uckubali,mwanamke huyo alikuwa kimaslah kaona jama hamkidhii mahitaji yake anamuona ----- PILI iko ivi pia UKIONA UNAPENDWA UJUE KUNA ----- KATENDWA NA UKIONA UNATENDWA UJUE KUNA ----- KAPENDWA huyo ccta kuna mtu kampata, afu ukiwa na mke,mpenzi au hawala ulokole na uokovu uuweke pembeni mana wanawaake ni pasua kichwa wanatumia udhaifu ulionao kukutesa kimapenzi... mwambie jama akaze buti na maisha yake ananafasi nyingi kimapenzi kw wengine
Duh, kumbe ana ujauzito
mkuu?! basi, labda ana hasira za mimba!! si unajua wanawake wakiwa
pregnant wanasumbua?!
Kama jamaa anaondoka mwambie safari njema, ila asimsahau mwanae kama kweli ni mimba yake!! kuanza upya sio ujinga!!
Hapo kwenye red inatakiwa ujipange sana maana inaweza ikakuchukua karne nzima bila mtu wa namna hiyo kutokea na akitokea jua huyo si wako peke yako.Anyway muombe Mungu maana mimi naamini Mungu anafanya njia pasipo na njia so keep on prayingFadhila mfadhili mbuziiii Utamnywa mchuziiiii! Binadamu wana mauziiii!!!!!!!!! How Could She be so Heartless!!!!!!!!??????????
Mi bwana ndo maana Mwanaume asie na kitu simtakagi kabisaaaaaaa!!!!!!! Mambo ya kumfuga mtu wee akipata anakuona si hadhi ya tena!
I ALWAYS WANT MY MAN IN A COMPLETE PACKAGE!!!!!! (Brains! Looks! Character and Money) Mambo ya kuanza wote from scratch yalikuwa zamani zam za kibanga kumpiga mkoloni!!!!!!!
samahan kwa ku-generalize bt mimba demu anayo tena ya miezi 3,sema huyu mwanamke ni kimeo tu.
Naomba unisamehe kwa kukudhania ya kuwa una akili kumbe hamzo..!Fadhila mfadhili mbuziiii Utamnywa mchuziiiii! Binadamu wana mauziiii!!!!!!!!! How Could She be so Heartless!!!!!!!!??????????
Mi bwana ndo maana Mwanaume asie na kitu simtakagi kabisaaaaaaa!!!!!!! Mambo ya kumfuga mtu wee akipata anakuona si hadhi ya tena!
I ALWAYS WANT MY MAN IN A COMPLETE PACKAGE!!!!!! (Brains! Looks! Character and Money) Mambo ya kuanza wote from scratch yalikuwa zamani zam za kibanga kumpiga mkoloni!!!!!!!
Naomba unisamehe kwa kukudhania ya kuwa una akili kumbe hamzo..!