Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,647
- 4,495
Mwanaume anaeitwa Simon Louis (49) amekataliwa ombi lake na mpenzi wake la kumuoa Mary Emmanuella (41)ambaye ni mpenzi wake aliyempenda mpaka kuokoa maisha yake mara baada ya kujitolea figo yake kumpandikizia na kunusuru maisha yake pindi figo zake zilipofeli.
Hata hivyo Simon alipohojiwa na Mwandishi wa Metro UK alisema kuwa hajutii maamuzi yake ya kumpa figo mwanamke huyo aliyempenda hata mara baada ya kukataa ombi lake alipopona ugonjwa uliokuwa unamsumbua.
“Nilimpa moyo wangu, lakini pia nilijifikiria nikampa na figo yangu, chochote kilichotokea sijutii wala sitojutia kwa kumpa zawadi ya maisha,” amesema Simon.
Aidha Mary Emmanuella amesema ataendelea kuwa rafiki wa karibu wa Simon.
“Ni rafiki yangu sana na daima itakuwa hivyo, mapenzi kati yetu ni ya kweli, Simon angefariki kwa kile alichokifanya kwa ajili yangu,”amesema Simon
View attachment 808031
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi panya aiseeMapenzi ulaya Afrika mtihani sipati picha ingekuwa imetokea bongo mpaka panya ndani yahiyo nyumba ya huyo mwanamke wangelipiwa kisasi
Ile power of love aliigiza na irene paulo siyo wolper hii story inafanana na ile muv kila kitumbona kama movie ya kanumba ile ya mwisho aloigiza na wolper?
WANAWAKE HAWAFAI JAPO SIO WOTE
Ungekuta ni mimi huyo demu muda huu angekuwa wapo sehemu moja na mandela nyerere na kanumbakudadeke wanawake siyo watu kabisa
Angeuwa kijiji chote alichotoka uyo dadaHii nayo kali kama ni kweli,sasa ukilinganisha na huku kwetu sijui ingekuwaje,mtu anaamua kujitoa roho kisa mwanamke kala 1.5 m,ingekuwa amemtolea figo sasa angefanyaje...!!
Siyo ata hivyo akili za wanawake wanazijua wenyewe paka leo sijawai kujua wanachotakammmh labda hamkuni au mzigo haupo,ndani kuna mengi bana
akili zetu ni nzuri mkuuSiyo ata hivyo akili za wanawake wanazijua wenyewe paka leo sijawai kujua wanachotaka
kweli kbsa ndo maana nkauliza kumbe mambo yapo kweliIle power of love aliigiza na irene paulo siyo wolper hii story inafanana na ile muv kila kitu
Exactly.ndani kuna mengi ban
Hii nayo kali kama ni kweli,sasa ukilinganisha na huku kwetu sijui ingekuwaje,mtu anaamua kujitoa roho kisa mwanamke kala 1.5 m,ingekuwa amemtolea figo sasa angefanyaje...!!
ujue watu huwajui doing good things does not guarantee you kuwa hautoachwa,mahusiano hata mkiachana usilalamike japo kuumia kupo furahia yale mazuri basi the man is pure,humble and classic nimempendaIngekuwa bongo hii basi huyo mwanamke angekùwa kalazwa kwenye jengo la serikali mapema