ππ wacha wee kazi itaanza lini mkuuItakuwa vyema nikiwa mkulima na wewe ukawa mfugaji maana itakuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai π
Ila tu tusije gombana ukalisha mifugo yako kwenye mazao yangu adhabu yake nafikiri unaijua sitakupeleka serikalini wakati serikali tunazo wenyeweππ
Msubiri korona aondoke atatupelekesha au unasemaje muchumba..?ππ wacha wee kazi itaanza lini mkuu
Stori za kutunga hizi hazikupi faida yoyote.eti ukawa unatoa 1m kwa mwezi matumizi?? Hata Diamond yalimshinda kwa Mobeto. Wewe una hela gani? Hata kumuoa tu ulishindwa ujidai kumtambulisha kwa mama ndio ingesaidia nini. Hivi mnajua wanawake wanapenda kuzalia nyumbani eeh!Manzi fulani nilipata kuwa naye last Year mwanzani.
Alikuwa wa kawaida, sio pisi kivile au OVYO kilive, mshikaji nikajiona ni wakatu wa kutafuta pahala pa kuweka mbegu zangu, nikawa naye kwa kitambo kwenye hiyo relationship.
Hata Bi mkubwa akapata kumfahamu (sikuwahi tambulisha mtu yeyote wa aina ile hapo before). Nilifanya hivyo kubuild trust kwa Manzi.
Katika kujiongeza thamani nikawa nafanya kila kitu kile nitarajiwacho kufanya kwa Manzi, Miezi ikasonga, ikafika muda akasema yuko na mtoto kwa tumbo. Mzee mzima nikawa excited sana kujua sasa nakuwa Dady. Hata nika mtell Bi mkubwa, naye akanipa Hongera yake.
Siku zikaende, akaja kutaga mtoto. Nikamuita Owden.
Baada ya wiki chache nikaenda kumpeleke Owden kwa Bibi yake akapatepo vibaraka, tulienda sote na *****.
Maisha yakawa yanaendelea, Sikuwa na kipato cha kutisha sana ila baada ya Manzi kutaga mtoto nikawa nina mCash USD 100 Kila week. Hiyo ni kwa ajili ya matumizi yake na Owden.
MWAKA 1 na NUSU Baadaye. Ninakuja kugundua owden sio Mwanangu wa Damu. Dah IKANI PAIN KINOMA.
Hata kwa job nikawa nakosa mshawasha wa kupiga kazi. Kimwili ni kionge fulani hivi, ila baada ya kujua ukweli kuhusu Owden nikawa kama mgonjwa wa HVI. Nikawa nakula gambe sana, nashinda sana viwanja kujua itanipunguzia PAIN. Ila hakuna kilicho badilika.
Sometime naingia kwa Job nikiwa tungi mzee baba. Dah hadi nikapoteza kazi. Nikawa nashinda home tu. Mshakaji wangu akija nitembelea home anakuta chupa za gambe mithili kulikuwa na Party ghetto kwangu.
Ilinichukua muda kama miezi 2 hivi ndio kuja KumTell Bi Mkubwa kuwa Owden hakuwa wangu. Bi mkubwa kasema Nisijali mzee baba, kwamba mimi sio wa Kwanza kupitia hiyo Changamoto. Na kwamba ni vyema nimetambua hilo hivi sasa.
Kumbuka hapo nilikuwa tayari nimeachana na Manzi mazima kabisa yaani. Ilinichukua muda kuwa normal. Mshkaji wangu alikuwa nanipa kampani ya kunitoa Oot na Kwenye MaClub ili nisahau Yote yaliyotokea. It Worked.
Baadaye nikapata Job pahala pengine. Life ikaendelea. Baaday kama miezi 7 Maisha yalikuwa yamempiga sana Manzi. Akawa ananitafuta kwenye simu, whatsapp, FB, nk. Ila mzee baba nikamkkatia kamba mazima. Manzi akaamua kwenda kwa Bi Mkubwa eti anisaidie kuomba msamaa kwangu ili nirudiane naye, Bi mkubwa akawa naye anamkatia kamba Kwa maneno makali.
Manzi akakoma mazima kuendelea kututfuta. Ni miaka 3 imepita sasa. Sijawahi sikia lolote kuhusu yeye na mimi niko na mishe zangu.
WANAWAKE NI WANYAMA SANA AISEE, NILISUMBUKA KWA NAMNA SIKUWAHI KUONA AISEE.
πStori
Stori za kutunga hizi hazikupi faida yoyote.eti ukawa unatoa 1m kwa mwezi matumizi?? Hata Diamond yalimshinda kwa Mobeto. Wewe una hela gani? Hata kumuoa tu ulishindwa ujidai kumtambulisha kwa mama ndio ingesaidia nini. Hivi mnajua wanawake wanapenda kuzalia nyumbani eeh!
Stori

π π kamati ya ukaguz tuambieUko shuleni ulisomea Maharagwe Mkuu?
Yaani usd 100 = Milioni 1?
Hahahahahahah
Wewe ndio ulisomea mbaazi kasema dola 100 kwa wiki kwe mwezi ni sh ngapi?? Umekurupuka.Uko shuleni ulisomea Maharagwe Mkuu?
Yaani usd 100 = Milioni 1?
Hahahahahahah
toka ujana wangu nimeshabambikwa watoto sio wangu watatu kwa wanawake tofautini kweli.
Ila walio wengi wako namna hiyo.
Sina wasi wasi ila sitak kuwa kimbelembele na apa kajifungua lkn hakuna ndugu ata mmoja nimemwambiaUkianza kuwa na wasi wasi tangu siku amesema ana mimba yako, basi kuna uwezekano wa zaidi ya 50% kuwa si wako.
Alafu kama ndio anaishi kwenye geto lake ndio dah wasi wasi unazidi.
Ndio sababu ctak kuwa kimbelembele toka kashika mimba nimekaa back bench uku nafuatiljafuatilia hilo jambo kwa uzito kabla mambo hayajaharibika...
Huu usnaur pumba kabisa wanaume msiufuate maana kwa maelezo ya mshikaj apo juu lait angekuwa amemuoa uyo dada basi angeathirika zaid au angejiua kabisa nimesema sioi ni mwendo wa kuzaa tukwanini usimuoe kwanza? makosa ni yako usichovyechovye huenda mwenzako hana imani na wewe sasa ukimrudia atakupa wa kwako kabisa
ulijuaje Kama mtoto sio wako?Manzi fulani nilipata kuwa
Alikuwa wa kawaida, sio pisi kivile au OVYO kilive, mshikaji nikajiona ni wakatu wa kutafuta pahala pa kuweka mbegu zangu, nikawa naye kwa kitambo kwenye hiyo relationship.
Hata Bi mkubwa akapata kumfahamu (sikuwahi tambulisha mtu yeyote wa aina ile hapo before). Nilifanya hivyo kubuild trust kwa Manzi.
Katika kujiongeza thamani nikawa nafanya kila kitu kile nitarajiwacho kufanya kwa Manzi, Miezi ikasonga, ikafika muda akasema yuko na mtoto kwa tumbo. Mzee mzima nikawa excited sana kujua sasa nakuwa Dady. Hata nika mtell Bi mkubwa, naye akanipa Hongera yake.
Siku zikaende, akaja kutaga mtoto. Nikamuita Owden.
Baada ya wiki chache nikaenda kumpeleke Owden kwa Bibi yake akapatepo vibaraka, tulienda sote na *****.
Maisha yakawa yanaendelea, Sikuwa na kipato cha kutisha sana ila baada ya Manzi kutaga mtoto nikawa nina mCash USD 100 Kila week. Hiyo ni kwa ajili ya matumizi yake na Owden.
MWAKA 1 na NUSU Baadaye. Ninakuja kugundua owden sio Mwanangu wa Damu. Dah IKANI PAIN KINOMA.
Hata kwa job nikawa nakosa mshawasha wa kupiga kazi. Kimwili ni kionge fulani hivi, ila baada ya kujua ukweli kuhusu Owden nikawa kama mgonjwa wa HVI. Nikawa nakula gambe sana, nashinda sana viwanja kujua itanipunguzia PAIN. Ila hakuna kilicho badilika.
Sometime naingia kwa Job nikiwa tungi mzee baba. Dah hadi nikapoteza kazi. Nikawa nashinda home tu. Mshakaji wangu akija nitembelea home anakuta chupa za gambe mithili kulikuwa na Party ghetto kwangu.
Ilinichukua muda kama miezi 2 hivi ndio kuja KumTell Bi Mkubwa kuwa Owden hakuwa wangu. Bi mkubwa kasema Nisijali mzee baba, kwamba mimi sio wa Kwanza kupitia hiyo Changamoto. Na kwamba ni vyema nimetambua hilo hivi sasa.
Kumbuka hapo nilikuwa tayari nimeachana na Manzi mazima kabisa yaani. Ilinichukua muda kuwa normal. Mshkaji wangu alikuwa nanipa kampani ya kunitoa Oot na Kwenye MaClub ili nisahau Yote yaliyotokea. It Worked.
Baadaye nikapata Job pahala pengine. Life ikaendelea. Baaday kama miezi 7 Maisha yalikuwa yamempiga sana Manzi. Akawa ananitafuta kwenye simu, whatsapp, FB, nk. Ila mzee baba nikamkkatia kamba mazima. Manzi akaamua kwenda kwa Bi Mkubwa eti anisaidie kuomba msamaa kwangu ili nirudiane naye, Bi mkubwa akawa naye anamkatia kamba Kwa maneno makali.
Manzi akakoma mazima kuendelea kututfuta. Ni miaka 3 imepita sasa. Sijawahi sikia lolote kuhusu yeye na mimi niko na mishe zangu.
WANAWAKE NI WANYAMA SANA AISEE, NILISUMBUKA KWA NAMNA SIKUWAHI KUONA AISEE.
wewe kwanza hujaoa unajuaje hasara za kuoa au kutooa?Huu usnaur pumba kabisa wanaume msiufuate maana kwa maelezo ya mshikaj apo juu lait angekuwa amemuoa uyo dada basi angeathirika zaid au angejiua kabisa nimesema sioi ni mwendo wa kuzaa tu
Manzi fulani nilipata kuwa
Alikuwa wa kawaida, sio pisi kivile au OVYO kilive, mshikaji nikajiona ni wakatu wa kutafuta pahala pa kuweka mbegu zangu, nikawa naye kwa kitambo kwenye hiyo relationship.
Hata Bi mkubwa akapata kumfahamu (sikuwahi tambulisha mtu yeyote wa aina ile hapo before). Nilifanya hivyo kubuild trust kwa Manzi.
Katika kujiongeza thamani nikawa nafanya kila kitu kile nitarajiwacho kufanya kwa Manzi, Miezi ikasonga, ikafika muda akasema yuko na mtoto kwa tumbo. Mzee mzima nikawa excited sana kujua sasa nakuwa Dady. Hata nika mtell Bi mkubwa, naye akanipa Hongera yake.
Siku zikaende, akaja kutaga mtoto. Nikamuita Owden.
Baada ya wiki chache nikaenda kumpeleke Owden kwa Bibi yake akapatepo vibaraka, tulienda sote na *****.
Maisha yakawa yanaendelea, Sikuwa na kipato cha kutisha sana ila baada ya Manzi kutaga mtoto nikawa nina mCash USD 100 Kila week. Hiyo ni kwa ajili ya matumizi yake na Owden.
MWAKA 1 na NUSU Baadaye. Ninakuja kugundua owden sio Mwanangu wa Damu. Dah IKANI PAIN KINOMA.
Hata kwa job nikawa nakosa mshawasha wa kupiga kazi. Kimwili ni kionge fulani hivi, ila baada ya kujua ukweli kuhusu Owden nikawa kama mgonjwa wa HVI. Nikawa nakula gambe sana, nashinda sana viwanja kujua itanipunguzia PAIN. Ila hakuna kilicho badilika.
Sometime naingia kwa Job nikiwa tungi mzee baba. Dah hadi nikapoteza kazi. Nikawa nashinda home tu. Mshakaji wangu akija nitembelea home anakuta chupa za gambe mithili kulikuwa na Party ghetto kwangu.
Ilinichukua muda kama miezi 2 hivi ndio kuja KumTell Bi Mkubwa kuwa Owden hakuwa wangu. Bi mkubwa kasema Nisijali mzee baba, kwamba mimi sio wa Kwanza kupitia hiyo Changamoto. Na kwamba ni vyema nimetambua hilo hivi sasa.
Kumbuka hapo nilikuwa tayari nimeachana na Manzi mazima kabisa yaani. Ilinichukua muda kuwa normal. Mshkaji wangu alikuwa nanipa kampani ya kunitoa Oot na Kwenye MaClub ili nisahau Yote yaliyotokea. It Worked.
Baadaye nikapata Job pahala pengine. Life ikaendelea. Baaday kama miezi 7 Maisha yalikuwa yamempiga sana Manzi. Akawa ananitafuta kwenye simu, whatsapp, FB, nk. Ila mzee baba nikamkkatia kamba mazima. Manzi akaamua kwenda kwa Bi Mkubwa eti anisaidie kuomba msamaa kwangu ili nirudiane naye, Bi mkubwa akawa naye anamkatia kamba Kwa maneno makali.
Manzi akakoma mazima kuendelea kututfuta. Ni miaka 3 imepita sasa. Sijawahi sikia lolote kuhusu yeye na mimi niko na mishe zangu.
WANAWAKE NI WANYAMA SANA AISEE, NILISUMBUKA KWA NAMNA SIKUWAHI KUONA AISEE.
Anibambikie !! Shaur lake nikikuta sura sio yangu tu najitoa sihusikwewe kwanza hujaoa unajuaje hasara za kuoa au kutooa?
huna sifa za kuzaa naona watakuzalishia wakubambike watoto
jua kwanza kulea, sio wenzako wakulelee ukawachukue mabinti za watu
tangu vyuo na sekondari kufungwa tutaona mengi