Wanawake sio watu wazuri

nilichokuja Jifunza ni kuwa Wanaume wengi hapa Mjini hulea na kuishi na Watoto wasio tokana na Viuno Vyao.

Tujijengee Taratibu ya Kupima ili kuondoa shaka.
Kama sikosei, ripoti ya mkemia mkuu mwaka 2018 ilisema kati ya wanaume waliopima asilimia 78 waligundua watoto siyo wao.

#KuchapiwaHakuepukiki
#KuchapiwaNiSiriYaNdani
#KitandaHakizaiHaramu
 
Kama sikosei, ripoti ya mkemia mkuu mwaka 2018 ilisema kati ya wanaume waliopima asilimia 78 waligundua watoto siyo wao.

#KuchapiwaHakuepukiki
#KuchapiwaNiSiriYaNdani
#KitandaHakizaiHaramu
ni kheri kuujua ukweli, kuliko kuwa na sintofahamu.
 
Kisa kama cha msela wangu mmoja. Ila yeye pale manzi alipompeleka mtoto kwa wazazi wa jamaa mzee wake na jamaa alitia shaka akamchana kuwa huyu mtoto sio wako.

Bi mkubwa akakomalia kuwa kidi kafanana sana na mshkaji hivyo ni mwanae. Jamaa akatunza mpaka karibu kidi anafika mwaka ndio manzi kuja kumchana kuwa kidi sio wake ila hali ya maisha ndio ilifanya amlengeshee maana jamaa alikuwa anajiweza na mtia mimba alikuwa hana jax yoyote.

Baada ya kufahamika ukweli mdingi akamchana jamaa kuwa 'sinilikuambia'.

Life goes on lakini.
 

Da aisee.

naona kama jambo la namna hii likimtokea mwanaume linamtia MKOSI kwenye safari ya mahusiano ya mwanaume husika.
 
Wanawake wengi wa Sasa huwa kwenye mapenzi siyo waaminifu, manzi anaweza akawa na wanaume wa3 kwa wakat mmoja kias kwamba akipigwa mimba na mmoja, anachokifanya ni kutafuta wa kumbebesha mzigo tena huwa anambebesha yule mwenye kaz, pesa ambae anauelekeo mzur wa maisha, au yule atakae Kubali kirahisi,

Sent using Gun Trigger
 

ni kweli kabisa ukisemacho.
 
et mm sio hifadhi ya Umma

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inauma kulea mtoto unaejua ni wako kumbe sie!,Bora uwe unajua kabisa nawe ukakubali mbona hiyo sio issue... Sasa unaweza kuta kwenye watoto watano wako wa halali ni mmoja tu! Sasa hao wanne si Ni shirika la umma hilo😅
 
Pole sn kamanda hii stor yko ndio imatrend kwangu kwa sasa nimegoma kutuma pesa za matumiz mpaka nipime DNA kuna girl kajifungua juzi anadai mtoto ni wangu kinachonitatiza ni maneno yke
1.alidai mimba imetungwa nje ya mfuko wa uzaz
2.aliwah tuma sms eti anamwambia rafik yke aje kwake weekend amuone shem wake nilishtuka sn na ile sms nilipomuuliza akasema eti anatanianaga na rafik yke
3.Mara ya mwisho kusex nae nikihesabu miez adi anajifungua haijafika tisa na miez kadhaa alikuwa mkoan kwa mantik nyingine ckulala nae miez km 3 nyuma
4.kajifungua nimemwambia anitumie pic ya mtoto kasema hana smart nilipomwambia aazime kasema hana wa kumuazima

NAOMBEN USHAUR pia naomba kujua gharama za kupima DNA
 
Hata sishangai, she was right.
Furushi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…