Wanawake sio watu wazuri


Nani kakudanganya mwanamke akiwa ana pesa hana haja Na wanaume we njoo kwenye maeneo ya beach huku uone majimama yenye pesa yanatanua Na vijana. Kuna apartments zinalipiwa Kwa mwezi mama anakuja Na mwanaume wake jioni anarudi Kwa mmewe.
 
Even men are the same bt nadhan hii imetoka na ile methal ya samaki 1 akioza basi wote..

Ila ukichunguza siyo kweli ni baadhi tu na hao baadhi wapo both men & women
 
Mkuu acha utani was uwongo unaoendana na ukweli!😀😀🙁
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…