Wanawake sio waoga aisee......

Watu tunatembea na visu ukizingua tunakata k.dani

dunia yenyewe hii usipojifunza judo basi kaa nyumbani kama mie
 

SWALI!!! Kwanini mlimpotezea dada wa watu muda wake?
 
Tuna watreat wanawake km something not human being tunawafanya tutakavyo sometimes unamtongoza Dem sio kwamba umempenda ila ulikua unatest tu unashangaa huyo kajaa. Nyie wanawake nyie
 
Tanzania hatuogopani ila tunaheshimiana...

Kitendo cha kumuita huyo mwanamke alishajua mnachotaka nini, na hamna madhara yotote... si kama hivyo nauli mmempa na hamjamfanya lolote...


cc: mahondaw
 
Wanahuruma sana Dada Zetu yaan daaaaah
 
Wanawake wenyewe wa moshi.hao uchelewi kusikia ntakuchamba kisuuu.kibooo.
 
Ulaya hakuna lift za barabarani, unaweza kwenda kuchinjwa huko na muuaji asijulikane. Bongo ni kawaida mdada umependeza asubuhi unavizia lift u sevu nauli.
 
Ana maana Kama mngekuwa watu wabaya basi na yeye alikuwa jinni maimuna, hamkuwa na nia mbaya, Ngekewa nayo msingefika salama, mngebanduliwa naye......akili za wanawake anazijua bibi Yao HAWA/EVA
 
Tuna watreat wanawake km something not human being tunawafanya tutakavyo sometimes unamtongoza Dem sio kwamba umempenda ila ulikua unatest tu unashangaa huyo kajaa. Nyie wanawake nyie
Hahaaa. Sasa kwa nini mtest mkuu wakati mmeshajua tuna mapungufu yetu ambayo hatuchelewe kujaa.

Mngekuwa mnauchuna basi.
 
Mmh. Ushaenda mbali tayari bonny. Lol.

We nipitie mi ndio nitakupakia kwenye Noah yangu.
Alah Kumbe una Noah swahiba kwan hela za Makinikia Tushalipwa Mama..
Nogopa Kutekwa aisee acha tufanye Matembez ya Hiar tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…