Wanawake sio ndugu zetu

Wanawake sio ndugu zetu

Joined
Oct 12, 2012
Posts
52
Reaction score
10
Sikumoja mwanaume karudi nyumbani saa chache baada ya kutoka home kuelekea kazini mata;
Mwanamke: khe kulikoni baba
Mwanaume: kumetokea ajali kazini
Mwanamke: ajali gani mume wangu niambie
Mwanaume: ofisi imeungua moto
Mwanamke: imekuwaje ukapona
Mwanaume: nilikuwa chooni nakamua haja kubwa ndomaana maafa hayajanikuta na nilivyorudi nikakuta wenzangu wamekufa lkn management ya ofisi imetoa mil.45 kwa waliofiwa km pole
Mwanamke: dah ona sasa kunya kunya kwako kumetukosesha mailioni hayo
 
duuh hyo kali
 
Toa talaka haraka sana huyo mke saa yoyote anakukabidhi kwa mwisraeli mtoa roho za watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom