Wanawake semeni ukweli

Wanawake semeni ukweli

Dada zetu leo tunaomba mfunguke mseme ukweli msidanganye. Swali ni kwamba ukipewa pesa kubwa na mwanaume wako ni kiasi gani kwa zama hizi?? Na mara ya mwisho umepewa lin pesa? Na wanaume pesa kubwa kutoa kwa mwanamke ni kiasi gani?
Mie Babu amenambia Pesa ya mwanamke ni sawa na kitu cha Nyapara wa Jela ukipendelea kutumia utajuta maisha yako hivyo kwenye hawa viumbe zaidi ya kile ambacho sina sitaki kingine kutoka kwao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom