Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,509
- Thread starter
- #21
Ambao hatujawahi kupewa tunakaa upande upi?
Kwamba unatoa
Ambao hatujawahi kupewa tunakaa upande upi?
Pande zile[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Ambao hatujawahi kupewa tunakaa upande upi?
Sitoi na sipewi🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba unatoa
Dora ooo kam basiPande zile[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sitoi na sipewi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kipindi hiki sijawah pewa pesa kabisa hata ya vocha [emoji28] ila zamani kidogo wakati niko shule ilikua laki 1
[emoji3]Hahahaah umeongea kwa hisia sana
Nilimpa asanteWewe ukampa nini baada ya kupewa laki 1?
Hahaa wapi tena[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Nilimpa asante
Nilimpa asante kama asanteAu siri yako[emoji848]
Na wewe ulikuwa unatoa nini ukishapokea hiyo laki? Ni biashara gani ulikuwa unafanya?Kwa kipindi hiki sijawah pewa pesa kabisa hata ya vocha [emoji28] ila zamani kidogo wakati niko shule ilikua laki 1
Sikua nafanya biashara yoyote. Alikua mpenzi wangu je kuna ubaya alipotoa pesa kunipatia?Na wewe ulikuwa unatoa nini ukishapokea hiyo laki? Ni biashara gani ulikuwa unafanya?
Funguka bhs
Kaa kushoto kuliaAmbao hatujawahi kupewa tunakaa upande upi?
Hakuna ubaya!Sikua nafanya biashara yoyote. Alikua mpenzi wangu je kuna ubaya alipotoa pesa kunipatia?
Umenifokea halafu unataka nifunguke?[emoji1787]
Usipanic dogo[emoji23]