Jana watu kwenye vibanda umiza walikasirika kiasi kwamba matusi ndio ilikuwa lugha ya kuelewana humo.
Wakenya wakatujambisha....baada ya wao kupigwa 2 mtungi wakaja na kauli eti wanasubiri game na sisi wanyonge.
Navoona starz watatuuwa na stress hawa.
Dadek tulikuwa tunashambuliwa kama tumeiba tecno kwenye mfuko wa rambo.