Wanawake semeni ukweli

Wanamalizia majukumu ya weekend, subiria na ujiandae kuambiwa usiopenda kuyasikia😂😂😂
 
Naomba mtujuze sisi wanaume kipi mnashawishika nacho kwa haraka? Je, kutongozwa kwa kupewa pesa au kupigwa sawaga tu? Karibu kwa maoni yenu
Kwani mkuu hadi leo kila unayemtongoza hakukubalii tu? Kama hauna pesa basi endelea kuwapiga 'sawaga' tu, ila kwa ule uzi wako wa kwanza kabisa wewe ni fundisho tosha kwa wanaume wenzio wanaoamini kuwa hakuna mwanaume anayekosa mwanamke, eti kwamba wanawake wapo tu muda wowote na mahali popote, wanasahau kwamba dunia imebadilika na zama zimebadilika. Napita tu.
 
Mpaka saivi nitaendelea kuamini kuwa hakuna mwanaume anayekoswa mke labda asiwe na pesa. Kama yupo mwenye pesa na kakosaa ajitokeze tujuane
 
Sasa wewe umeona mimi kuna sehemu nimeandika aliye na pesa au asiye na pesa mimi nimemaanisha wapo wanaume ambao wanakosa kabisa wanawake yaani kila wanapotongoza wanakataliwa sasa wawe na pesa wasiwe na pesa mimi hainihusu ila ndo hivyo wanakataliwa
Mpaka saivi nitaendelea kuamini kuwa hakuna mwanaume anayekoswa mke labda asiwe na pesa. Kama yupo mwenye pesa na kakosaa ajitokeze tujuane
 
Eeh hebu rudia swali
Taifa star wamenichanganya sikskii vizuri
Jana watu kwenye vibanda umiza walikasirika kiasi kwamba matusi ndio ilikuwa lugha ya kuelewana humo.

Wakenya wakatujambisha....baada ya wao kupigwa 2 mtungi wakaja na kauli eti wanasubiri game na sisi wanyonge.

Navoona starz watatuuwa na stress hawa.

Dadek tulikuwa tunashambuliwa kama tumeiba tecno kwenye mfuko wa rambo.
 
Tafuta wa rika lako na standards zako ukitaka vya juu lazima ugharamikie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…