Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,177
Ujasiri ni kuomba hela wakati umetongozwa ndani ya masaa 19 na sio kumpa hela.Ujasiri wa kumpa 20,000 uliupata wapi mkuu?
Duuuh, yatanishinda mimi siweziUnakuja kulalamika huku hela umeshatoa we endelea kutoa hela mkuu
Kama uliona ni jambo la kushangaza usingempa, sasa umempa halafu unamsimangaUjasiri ni kuomba hela wakati umetongozwa ndani ya masaa 19 na sio kumpa hela.
Hayawezi kukushinda mkuu we endelea kutoa hela tuDuuuh, yatanishinda mimi siwezi
Utampa tu, uje tena kutuambiaDuuuh, yatanishinda mimi siwezi
Yaan hawa viumbe mungu tu ndo anawajuampaka umuambie ukweli kuwa hutaki aendelee kukuomba pesa, ye tayar atakuwa ameshapata mtaji wa kutosha.
Mm siombi hela nitafute[emoji13][emoji13][emoji13]Jana kuna mdada nilimtongoza ilikuwa majira ya jioni hivi, usiku tukachat kidogo tukapumzika kama ilivyo kawaida kwa wapenzi wapya, ile naamka asubuhi ni salaam tu nahisi ndo ilikuwa ya kwanza baada ya hapo ni kirungu mimi nina shida huwezi amini hadi asaivi kala Tsh 20,000/=
asa najiuliza ujasiri huu wanautoa wapi?
ila mnasikitisha kwakweli utadhani nimejiunga na VIKOBA aiseee.
Nitakufata utakuwa ndugu yake na Mo.[emoji4] [emoji4] [emoji4]Mm siombi hela nitafute[emoji13][emoji13][emoji13]
Huenda ikawa kweli.Tatizo lipo wapi? Mbona mkiwaparania siku hiyo hiyo hamlalamiki?
Endelea kutoa kisha uendelee kulalama JF. Kesha kusoma vizuri mpenzi mtazamaji poyoyo.