kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,205
- 18,475
MyKwako hauna bafu kwani?
Funguka basi jamani nikuambie
Golden chance hailaliwi mlango wazi ujue...
Hahahahahahahahah mwifaaa unanitishia nyau jamani wakati me mtu mzimaGolden chance hailaliwi mlango wazi ujue...
Hahahahaaaa.Hahahahahahahahah mwifaaa unanitishia nyau jamani wakati me mtu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Bee my
Umeona eee...
Miss yuu mno my wanguBee my
Kazi kwako mlango upo wazi hapa..
Mmhh.
Hahahahaha bila kua mchoyo maisha haya hutoboiMmhh.
Uchoyo haulipi...
Kuna vya kufanyia uchoyo ila sio vyote...