Wanawake, punguzeni manjonjo kwa madereva

Wanawake, punguzeni manjonjo kwa madereva

Sio kukutomasa kabisa unakuta kamwanamke kanajifanya kabitozi eti kamechoka na safari kanakuwekea mkono.sometime anakuwa amekuwekea kwenye zakar kabisa na ni usiku unategemea mwanga wa taa. Punguzeni kudeka
Sawa tutapunguza,lakini kudeka muhimu...
 
Kuna jamaa mmoja pale kwenye round about ya mwenge kwenda kwenye vinyago,( from mwenge to ubungo) alikuwa anaendesha yupo na mdada. jamaa aligonga daladala alivyotoka kidudu kimesimama kama....
 
Kama husumbui kupiga mizinga hovyo we deka tu. Mizinga inawafanya mnakuwa very extremely not sexy
Teh,wewe mizinga imekuathiri sana...tupo kwenye kudeka umeshaingiza mizinga...
Kuna siku tunajiskia tu kudeka hakuhusiani na mizinga bana... Ila kuna siku tunadeka ili tukipiga mzinga isiwe tabu.. We hudumia tu watu wapendeze..
 
Kuna jamaa mmoja pale kwenye round about ya mwenge kwenda kwenye vinyago,( from mwenge to ubungo) alikuwa anaendesha yupo na mdada. jamaa aligonga daladala alivyotoka kidudu kimesimama kama....
Hahahaa, aibu nimeona mimi..
 
sitamsahau baby ney siku moja si akaanza kula koni katikati ya mandela road,yaani kila nikikumbuka siamini nilifikaje tabata

Si vibaya kwa Binti kumgusa gusa bwana wake wawapo kwenye Private ndinga (Gari binafsi). Ni jambo lisilozuilika, lakini lisipofanywa kwa tahadhari, laweza kuwa chanzo cha ajali.

Unakuta Gari iko highway, spidi ya juu. Taratiiiibu mchuchu/bitotoz unakugusagusa miguu, Mara mkono Mara shingo Mara mabega, Mara unakuinamia in the name of love a.k.a mahaba. Ghafla mzuka unakupanda unapoteza umakini kwenye sterling.

Ukimzuia anaona unamdis, ukimruhusu ndio hivyo tena roho mkononi. Ni sheedar.

Ladies please nawaomba mpunguze manjonjo hasa tukiwa behind the sterling. Japo tunayahitaji vilevile.
 
Mbona hiyo kidogo. Anatuma mpaka salaam kwenye foleni.
 
Mimi dereva wa kruza,napenda mdada akae kati,nacheza na namba 2 na 4 kila wakati
 
Back
Top Bottom