Hahahahha! Wanawake ni watu hatar sanaAisee hili lina ukweli,kuna mdada moja nilikuwa namuona kwenye picha white kabisa,siku nilipomuna ni black na ana mabaka sasa sijui hata yale mabaka anatoaje...
π π Marioo na Abbah wanawakumbuka mbona.Dah mnatutenga vibonge