Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

Ha! ha! ha! hahahahaaa..!!
 

Hahahahaha sina haja ya kufanya hivyo napenda niwe hivi hivi sitaki kupanda chati ati
 

Well said.....hata hii kitu huwa inanitokea mara kwa mara kwenye daladala unakuta dada kavaa sijui skin tight.... Bila pichu ndani... Alafu msimama wote kwenye daladala anakubana na fungasha lake kwa mbele..... Yaani.... Ni shidaaa........
 
Kuvaa ngotha sana sana G-strings/thongs kunasababisha kuambukizwa kwa fangas, pengine ndio wanaogopa. Though I wouldn't put my money on this.
 
Yani haka katabia ka wanawake kukata mitaa wakiwa tupu bila nguo ya ndani kameenea sana.

Wanawake ndio fassion au mnarahisisha X kua Y.?
Hii thread bila picha siamini unachosema..
 
kuna wale wengne wanavaa madera then wanachomea dera kwnye pichu ya ndan.. ni shdaa lazma ugeuke 2.

Napenda sana hiyo kitu hasa ukute binti mashallah.... Full mzuka, imefika wakati hata mpenz wangu nimemnunulia Madera na anayavaa style hiyo nikiwa nae ndani tu bas...
 
Maneno tu bila picha ni sawa vielelezo visivyo na ushaidi
 
Maneno tu bila picha ni sawa vielelezo visivyo na ushaidi

Kaka Tuanze Na Wewe.Unaweza Kumpiga Picha Mtu Aliye Uchi Popote Mfano Kwe Dala Dala Au Umekaa Bar,mgahawani Umpige Picha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…