kwa nini baada ya kuachwa ndiyo utuletee mbona uzuri wake umeuweka kapuni.? huoni kama wewe ndiyo shida ? na nampa heko kwa kukuacha hukuwa na maana
Inteprtating the post " unajua ni kiasi gani nakupenda na ctamani nikukose hata kidogo" kuna upendo wa dhati hapoo.?" ntaendelea kkpenda mungu akujaalie mke mwema inshaalah" soo yupo ready kuisaliti ndoa aliyomo koz ya Past relationship..! Sasa hii ni shida na ndo chanzo cha michepuko huru
kwa sababu wewe umetuletea umbea baada ya kuachwa wakati kuna mazuri mlifanya mengi kama kitandanihahahaha shida iko wap sasa bt hujui kuhusu hayo that's why unaongea hvy upo ryt DOLE
Nyie bado mnapendana usijali, haitabaki kuwa historia wewe na yeye, akishaolewa tu, na wewe unamuoa ndoa ya mkeka zen maisha yanaendelea jiandae tu kama hujajenga jenga kabisa usijekosa mahala pa kumuweka kiwiziwizi
zinaa tusiikaribie
Hicho kinaitwa kibuti kuntu, yaani mtu anakuua huku anakuchekea.
Usijali ipo siku atarudi kwako huku anatembelea magoti na kukuomba umrudie.
Kama vp tafuta mwingine au msubili aachike uje umuoe, mana watu kama hao waga hawadumu kwenye ndoa zao.
naogopa wake za watu aiseeeeee