Ahsante kwa ushauri. japo nilishaambulia mara kadhaa kabla hajaa za za kuleta na kujifanya hayuko reachable kila mara tukiwa na mihadiUnampata Faiza Ally?
Basi ndio aina ya mwanamke uliyekutana nae,usije ukathubutu kujihusisha nae kwa namna yoyote...hata akijitolea kukupa offer ya nyapu,usiiguse!
Kama ukijihusisha nae kwa namna yoyote siku yakimpanda anakudhalilisha kweupeee
Sasa kama hakunipenda na nilishakubali kwanini aendelee kunifuatilia.PARADIGM
Kwasababu hakukupenda alikua anaitaka Pesa yako tu..Pole [emoji1751]
Sasa kwa nini amharibie?PARADIGM
Kwasababu hakukupenda alikua anaitaka Pesa yako tu..Pole 🤦
Kabisa kama mtu humpendi unapata wapi muda wa kumfuatilia!Sasa kwa nini amharibie?
Baba Rayhaan Ndio yuko ivyo yaan she is a bitter woman and toxic..aachane nae 😧Sasa kwa nini amharibie?
hiyo nilishakata kitambo na wala sina haja ya kujua yuko wapi na anafanya nini?Ili asikusumbue tena we uwe unamtumia hela tu bila kumsemesha chochote, kisha leta ushuhuda hapa jukwaani.
nipe sifa za hawa viumbe...maana nikimfikiria simwishi...what is her drive? and what does she gain from doing that?Baba Rayhaan Ndio yuko ivyo yaan she is a bitter woman and toxic..aachane nae [emoji47]
PARADIGMnipe sifa za hawa viumbe...maana nikimfikiria simwishi...what is her drive? and what does she gain from doing that?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa somo. wakati mwingine waweze kujiuliza umekosea wapi kumbe wajihukumu kwa matatizo ya mwenzio.PARADIGM
Sifa zao hua hawawezekaniki na ata hua hawaolewi kwasababu wanakua hawako tayari kutawaliwa..Sasa ikitokea wako kwenye Ndoa basi jua kapata Tahira wake anam’buruza awezavyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112][emoji112]
Miongoni Mwa Sifa zao ni Hizi:-[emoji116][emoji116][emoji116]
1 - They always have a sense of entitlement[emoji3191]na wanapokosea hawaoni makosa yao ila ya mwenzawake sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
2 - Ata urafiki tu kwa Wanawake wenzie hua haudumu kabisa utaskia
('you always' or 'you never' ) statements
3 - ‘Just shut up' statements..the silent treatment
4 - No integrity
5 - No morals
6 - Drama [emoji624] Queen’s
Fortunately..if someone wants to change those above behaviors it can be done..toxicity isn't necessarily fatal
💯Ahsante kwa somo. wakati mwingine waweze kujiuliza umekosea wapi kumbe wajihukumu kwa matatizo ya mwenzio.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
nyapu siyo kwamba hakunipa. Niliambulia mara 4 ila nilikata tamaa baada ya kuona siku yeye akipenda ndo anatoa...Nikaamua kujitoa pamoja na yote niliyokuwa nishamfanyia.Mwanangu Jina lako limekaa kijanja ila huelewi situasheni ndogo tu hii?Hapo kaona msukule wake unakata kamba,na atafell kimaokoto,na chanzo ni huyo manzi uliyenae,so anataka muachane aendelee kukufanya fala,kama alikuwa anakupenda nyapu angeshakupa zamani
Hata nikiachana na huyu siyo lazima nimpende yeye.Mwanangu Jina lako limekaa kijanja ila huelewi situasheni ndogo tu hii?Hapo kaona msukule wake unakata kamba,na atafell kimaokoto,na chanzo ni huyo manzi uliyenae,so anataka muachane aendelee kukufanya fala,kama alikuwa anakupenda nyapu angeshakupa zamani