Wanawake ninao wapenda wote wana wachumba??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake ninao wapenda wote wana wachumba???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rashid wa Arusha, Aug 9, 2012.

 1. R

  Rashid wa Arusha Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Wana jf
  mimi ni kijana naishi Arusha na nafanya kazi kwenye shirika la kigeni na nina miaka zaidi ya 35. Nahisi nimekuwa sina bahati kwani wanawake wote ninao tokea kuwapenda huniambia kuwa wanawapenzi na mimi sijui ni kukosa uzoefu; huamini mawazo yao na kutokuendelea kuwafukuzia. Mimi ni mtu mrahisi wa kuishi na watu na kazi yangu inanifanya niwe busy na sina muda sana wa kwenda kujichanganya...nahisi hii inanifanya pia nisiwe katika mazingira ya kumpata mrembo. Mimi nimezaliwa kwenye familia ya kiislam.
  Ukweli napenda mwanamke aliye elimika zaidi ya kidato cha nne na awe na kazi au anajitegemea kwani naogopa mwanamke wa kubaki nyumbani kwani nirahisi kupewa mawazo mabaya.
  Huwa navutiwa na wanawake warefu wastani na figure ya kiafrika (kiasi) ila asiwe mnene sana. Mwanamke Mcha mungu na anayejua kupika kwani napenda kula nyumbani...na anaye jua dhamani ya mwanamme kama vile ambavyo mimi naamini...nikipata mwanamke mwema nitampenda sana (someone I can not afford to leave without)
  Kama umrembo (natural) na una sifa hizo na uko tayari kuanza maisha kwa muda sio mrefu sana ni pm...
   
 2. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Aisee ngoja nibadili dini fasta nakutafuta.halafu we si najua lakni pa kupeleka hili ombi lako?
   
 3. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nimesoma ujumbe wako mi naona unatangaza nia kwa wana jf kuwa mwenye hivyo vigezo akutafute.
  Na kwa age yako ni lazima wanawake wengi utakaokutana nao watakuwa na wapenzi labda ukutane na aliyeachika au ambaye na yeye hafatwi.
  Umesema uko above 35 unataka mwanamke wa age gani labda weka wazi unaweza kumpata humuhumu.
   
Loading...