Wanawake nimewanyoshea mikono

mimi napendaga mtu ata awe na hali gani namkubali ila tatizo wakishajua UMEKUFA UMEOZA utakoma,,,, utasota maisha ya kumbembeleza mpaka basi
Huyu wangu baada ya kujua mji ndo tatizo lilianza yaani alikuwa akiona kaka handsame anajua ni wake sasa ni mwendo wa chain kuunganishwa duh!
 
Hapana nilifanya vile ili kuweza kumuumiza kama yeye alivyoniumiza (maana ana wivu kweli kuna siku nipo stand nampokea mama akadhani ni msichana mwngne napokea akavimba sasa mm nilimpiga kutokana na makosa yake
 
" wanawake si wenzetu yaani ukikosa pesa hata kama mlitoka kijijini wote mkifika mjini huyo si mwenzako tena hakujui."

kwani umetoka kijiji gani mkuu?
Huko bush ndani ndani serengeti
 
Hahahhahahha dah wanaume wengine jmn
Kwa nnavosoma Upepo huyo mwanamke anakuendesha sana mana naona unastrategize kila uchao umuumize vipi roho, u care,kama hujali mbona anakuhangaisha haha
 
Hahahhahahha dah wanaume wengine jmn
Kwa nnavosoma Upepo huyo mwanamke anakuendesha sana mana naona unastrategize kila uchao umuumize vipi roho, u care,kama hujali mbona anakuhangaisha haha
Wala sina tatizo nae sasa hiv nimemwacha afanye yake
 
mimi napendaga mtu ata awe na hali gani namkubali ila tatizo wakishajua UMEKUFA UMEOZA utakoma,,,, utasota maisha ya kumbembeleza mpaka basi

Kwa bandiko hili sina shaka tupo compatible sana mkuu, naomba nipe mimi hio chance sijuagi kupunja Penz katika hali yoyote ile hutojuta Me too
 
Kwa bandiko hili sina shaka tupo compatible sana mkuu, naomba nipe mimi hio chance sijuagi kupunja Penz katika hali yoyote ile hutojuta Me too
No sasa hv sihitaji kuwa na mtu naangalia kwanza utulivu kisha nipate jibu baadae nani anafaa.
 
Yani ukaamua kupata mtoto makusudi ili kumringishia x-girlfriend wako??

Acha kutuongopea mkuu,hapo ulipo unajuta kuitwa Baba kabla hujajipanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…