by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 216
Ingawa mimi siyo mtaalam wa mambo ya uzazi ila nasikia kwamba mbegu za mwanaume ndiyo zinaamua mtoto anayezaliwa awe ni wa jinsia gani na mwanamke hana mchango katika hilo.
Ingawa mimi siyo mtaalam wa mambo ya uzazi ila nasikia kwamba mbegu za mwanaume ndiyo zinaamua mtoto anayezaliwa awe ni wa jinsia gani na mwanamke hana mchango katika hilo.
Actually yuko sahihi. hakuna eggs zenye Y-chromosome, so mwanamke hawezi kudetermine jinsia ya mtotoyou are totally wrong mkuu! Rejea elimu ya uzazi na usome mambo ya "XY" NA "X" Halafu uje kujisahihisha mwenyewe hapa!
trueIngawa mimi siyo mtaalam wa mambo ya uzazi ila nasikia kwamba mbegu za mwanaume ndiyo zinaamua mtoto anayezaliwa awe ni wa jinsia gani na mwanamke hana mchango katika hilo.
its sad maana kutokana na mtazamo wake, mtu anaweza kuimwambia kwamba hata yeye alikuwa "m--- jike" once upon a time. hii ni inferiority complex iliyopitiliza........ mke wa baba mkubwa alimkashfu sana alipokuwa akijifungua dada zangu (sorry) alikuwa anasema ameleta mambwa jike duniani ........
Ingawa mimi siyo mtaalam wa mambo ya uzazi ila nasikia kwamba mbegu za mwanaume ndiyo zinaamua mtoto anayezaliwa awe ni wa jinsia gani na mwanamke hana mchango katika hilo.
you are totally wrong mkuu! Rejea elimu ya uzazi na usome mambo ya "XY" NA "X" Halafu uje kujisahihisha mwenyewe hapa!