Wema bado hajafikisha 35 lakini unaweza kuona wanaume wameanza kumkimbia. Hakuwa na historia ya kuachwa siku za nyuma ila yeye alikuwa anaacha. Idrisa kamuacha Wema. Huo ndo mwanzo, baada ya muda atahangaika kupata aliowakataa.
Pili, inategemea lengo lako ni kuolewa au kuwa single mother. Kama ni suala la kuolewa wanawake wanaopata fursa za kubadili wanaume kila week chance ya kuolewa ni ndogo. Hapa ni kwamba wanaume wanakuwa wanasikia umaarufu wako na mara nyingi wanakupenda ili kuonja ukoje lakini kuoa hamna.Kama una lengo la kufanya biashara kupitia hizo fursa hapo utakuwa sahihi.