Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Mkuu usibabaishwe na picha, camera zinadanganya sana. Hao unaowaona wazuri kwenye picha ndo hao hao unaowaona wabaya kwenye maisha halisi mitaani. Kuna app nyingi tu za kutengeneza picha zionekane nzuri kumbe usanii tu.Hao wengi wako wap? Mbona wengine hatuwapati??
Acheni uchoyo muingie Mbinguni, kama unawawili nipeni mmojaa
Hilo ndio tataizo kumpata mke mwemawako wengi sana hawa viumbe ila mpaka umpate aitwae MKE kazi umeifanya.
La sinyo utakuwa unafanya kazi ya kufunua na kufunika unalaza mwendo.
Baby girl umeshanisahau siku hiziHata sie tukiachana na mtu fulani baada ya week tunakamata fursa kwa mwingine
Bado nakukumbuka baby boy jamaniBaby girl umeshanisahau siku hizi
Daah safari hii nataka nikuone weekend utakuwepo?Bado nakukumbuka baby boy jamani
Alitakiwa amshike na HC,huyu Hc naskia ni msagaji na alitoa sana mimba.Yea ofcoz
Ndo maana Trump huwa anawashika shika
Kwa sisi tunaopenda kushika shika
Trump ndo kiongozi wetu
Kweli,hata chura mtu anajipimia tuu kwenye picha anaweka analotaka.Mkuu usibabaishwe na picha, camera zinadanganya sana. Hao unaowaona wazuri kwenye picha ndo hao hao unaowaona wabaya kwenye maisha halisi mitaani. Kuna app nyingi tu za kutengeneza picha zionekane nzuri kumbe usanii tu.
Aaaaah sanaaaaa mapenz ni kama daladala akishuka mtu anapanda mtuHata sie tukiachana na mtu fulani baada ya week tunakamata fursa kwa mwingine
Nipo nimejaa tele karibu sanaDaah safari hii nataka nikuone weekend utakuwepo?
Hahahahahaha unadhalikisha mkuuYea ofcoz
Ndo maana Trump huwa anawashika shika
Kwa sisi tunaopenda kushika shika
Trump ndo kiongozi wetu
Hahahahawako wengi sana hawa viumbe ila mpaka umpate aitwae MKE kazi umeifanya.
La sinyo utakuwa unafanya kazi ya kufunua na kufunika unalaza mwendo.
hzo mbwembwe tuHata sie tukiachana na mtu fulani baada ya week tunakamata fursa kwa mwingine
kama unajijua wewe dada upo humu unafanana na huyo kwa upande wa mbele au nyuma tafadhali usinisahau
Kabisa mpendwa...maisha yenyewe mafupi haya unapata mtu badala muinjoi maisha yaliyobaki ndo stress mtindo mmojaAkikusumbua jua kuwa hakuwa sahihi kwako, let her go and move on.
Mhhh.sio kweli....huyo wa week alikua amewekwa risevuHata sie tukiachana na mtu fulani baada ya week tunakamata fursa kwa mwingine
Kaz kubwa si kidogo...wako wengi sana hawa viumbe ila mpaka umpate aitwae MKE kazi umeifanya.
La sinyo utakuwa unafanya kazi ya kufunua na kufunika unalaza mwendo.
U mean lost love cant be replaced?? What if ukapata utakaempenda zaid ya aliekuacha mwanzoEveryone is unique under the sun and hence there is no replacement in the lost love.
Si kila kitamu kinatengeza sukari, ndo maana asali licha ya utamu wake mwingi inaishia kutengeneza nta tu.