Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Mfukua Makaburi kwelilkweli...
 
Kama kuna kitu huwa kinanisikitisha ni kuwaona mabinti 20s-30s wakiwa wamelewa.

Huwa nawaona kama watu wasiojionea huruma maana kwa hii dunia akikutana na fisi anaeza liwa mtu nyama, mifupa hadi nywele hivi hivi.

Tuwaombee mabinti walevi waache pombe (Amina)
 
Hapana
Sio kwa ubaya Mkuu, alikuwa zaidi ya ndugu kwangu miaka hiyooo!!! Ni mtu mmoja muhimu sana kwenye maisha yangu,alinisaidia kwa kweli. Mungu azidi mtunza huko aliko
Okey, watu wa mbeya ndo zao ni wakarim sana sana, ni zaidi ya ndugu. Hata Mimi ndo ivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…