Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Bac we simba
 
Ni kweli kwa %60 baadhi yao. Mi binafsi niliwahi kukutana nae wa namna hiyo. Tulikua tunafahamiana kidogo akiwa hajalewa uandae dhana nzito za kupigania ili umkamate.
Ila nilikutana nae amelewa akamtoroka jamaa ambae alimnywesha via zake za kutosha ili apige mzigo. Akaja kinikumbatia mimi nikaenda nae chemba, asubuhi yake, yote tuliyofanya hakumbuki hata moja. Akawa anajisikia aibu na hakutaka hata nimkumbushe alikubali kwamba kitendo kilifanyika baada ya kumwambia amuulize shoga yake.
 
Hahaha, same idea.
 
Hahahaa. Umeona sasa na huo ndio ubaya wa hii kitu sababu yanayofanyika mengi yanakuwa hayatokani na akili ya kawaida bali yanatokana na ile akili ya pombe.

Inapokwisha sasa ndio hubaki aibu na majuto.
 
Hahahaa. Umeona sasa na huo ndio ubaya wa hii kitu sababu yanayofanyika mengi yanakuwa hayatokani na akili ya kawaida bali yanatokana na ile akili ya pombe.

Inapokwisha sasa ndio hubaki aibu na majuto.
Pombe mbaya jamanii[emoji4][emoji4][emoji4]
 
wa kwetu hii misamiati unayo kumbe???
 
Umenikumbusha kuna mdada Staff mwezetu kazini mwanamke ana kunywa yuleeeeeeeeee sijapata kuona,Wanaume na uwanaume wao wali bakia kumuangalia, kinachokera ni pale bombe ikizidi anakua ovyo kabisa mnaweza kuondoka mkamuacha,wala haoni tabu mara kachukuliwa na huyu mara na yule mpaka unasema huyu sidhani kama hawaja mfanya kitu kibaya,halafu ni mzuri ila balaa alokua nalo ni hilo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…