Wanawake ndio wamesababisha wanaume kuwa mahanisi

ngonyoki

Member
Joined
May 20, 2012
Posts
43
Reaction score
8
Siku za nyuma wanawake kwa ujumla walikuwa wakivaa nguo zinazoficha kila sehemu za miili yao zikiwepo sehemu zilizokuwa zinawapa tabu wanaume kila wanapoziona kwa bahati mbaya au vyovyote. Nguo zilipitiliza magotini na hazikuonyesha jiografia ya milli yao. kile alichotamani kukiona mwanaume tu walao apate nanihii, hata paja ilikuwa siyo raisi kuonekana! hivyo wanaume walikuwa na njaa siku zote. Hivyo linapokuwa ndani ya kumi na nane iko kazi.

Lakini sasa kila kitu hadharani! hamu hamna. anapopita mwanadada paja zote nje mpaka bahasha inaonekana wala hata katibu kata hashtuki! anayaona kila siku! ameshazoea!

Kina dada na mama vaeni kama zamani viagra zitawamaliza wanaume!
 
Nipe 5 mtu wangu yani siku hizi ukitaka umfaidi vizuri mwanamke subiri usiku halafu uzimee taa maana kwenye mwanga hakuna jipya na tight zao wanazozivaa ramani ya tuntu ipo hadharani hapo utakua na hamu nae tena?
 
Mh..! Pole aisee, maana unavyolalamika..!

Na wewe umeshakuwa mmoja kati ya hao ma. ha.ni. si???

Enzi za mababu mbona wanawake walikuwa wanatembea matiti wazi na walikuwa wanavaa vibwaya na hakukuwa na uhanithi??? Fanya utafiti upya wa sababu ya uhanithi ndugu yangu..!
 
Siku za nyuma wanawake kwa ujumla walikuwa wakivaa nguo zinazoficha kila sehemu za miili yao zikiwepo sehemu zilizokuwa zinawapa tabu wanaume kila wanapoziona kwa bahati mbaya au vyovyote. Nguo zilipitiliza magotini na hazikuonyesha jiografia ya milli yao. kile alichotamani kukiona mwanaume tu walao apate nanihii, hata paja ilikuwa siyo raisi kuonekana! hivyo wanaume walikuwa na njaa siku zote. Hivyo linapokuwa ndani ya kumi na nane iko kazi.

Lakini sasa kila kitu hadharani! hamu hamna. anapopita mwanadada paja zote nje mpaka bahasha inaonekana wala hata katibu kata hashtuki! anayaona kila siku! ameshazoea!

Kina dada na mama vaeni kama zamani viagra zitawamaliza wanaume!

Unataka kusema kabla hatujaletewa nguo na wakoloni enzi hizo...wanaume walikuwa 'hawapafomu'!? Maana kila kitu kilikuwa hadharani..
 
::
ladyfurahia
Anasema tuwape uhuru na huo ndio wanataka.
::
Kama athari zake zinaleta uhanithi tutegemee mengi zaidi maana karibu watatembea utupu.
=
 
Last edited by a moderator:

Nimegundua kinga mpya dhidi ya maambukizi ya Ukimwi; less clothes na wakaka hamu zaisha. Gals keep it up!
 
Unataka kusema kabla hatujaletewa nguo na wakoloni enzi hizo...wanaume walikuwa 'hawapafomu'!? Maana kila kitu kilikuwa hadharani..

me like this post!
 
Siku za nyuma wanawake kwa ujumla walikuwa wakivaa nguo zinazoficha kila sehemu za miili yao zikiwepo sehemu zilizokuwa zinawapa tabu wanaume kila wanapoziona kwa bahati mbaya au vyovyote. Nguo zilipitiliza magotini na hazikuonyesha jiografia ya milli yao. kile alichotamani kukiona mwanaume tu walao apate nanihii, hata paja ilikuwa siyo raisi kuonekana! hivyo wanaume walikuwa na njaa siku zote. Hivyo linapokuwa ndani ya kumi na nane iko kazi.

Lakini sasa kila kitu hadharani! hamu hamna. anapopita mwanadada paja zote nje mpaka bahasha inaonekana wala hata katibu kata hashtuki! anayaona kila siku! ameshazoea!

Kina dada na mama vaeni kama zamani viagra zitawamaliza wanaume!

ngonyoki ni nani aliyesababisha wanaume wawe mashoga?
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kwako bujibuji! Ushoga (God forbid) unachangiwa na wanaume kuona hakuna jipya kwa wanawake! Riwa; Zamani ni zamani; wewe hapo ulipo huenda mpaka uko form one au two uliamini kuwa mtoto alikuwa anapatikana kanisani kwa wale wakristo na kwa wenzangu na mimi ndio tulikuwa tunaambiwa mtoto anapatikana kutoka nanihii (nachelea kichapo) mambo ya kutamani yalikuwa hayapo Riwa. Ulikuwa hujui kwanza!
 
Kama research yako inaonesha hivyo basi maha.ni.si mtakuwa wengi sana.
 
Nadhani ndugu hukunielewa nilisema uhuru wa kawaida sio wa kutembeea nusu utupu hakuna mtu anayependa kuona mwanamke mwenzake kavaa nguo nusu utupu nasi tunakemea tabia hiyo kwni wanatudhalilisha wenzao Mungu alimuumba mtu akamfunika vyema kwa majani pale bustanini eden aliona umuhimu wa mtu kuvaa nguo hivyo sijasemea uhuru wa kufanya mambo yasiyompendeza Mungu jamani nieleweni
::
ladyfurahia
Anasema tuwape uhuru na huo ndio wanataka.
::
Kama athari zake zinaleta uhanithi tutegemee mengi zaidi maana karibu watatembea utupu.
=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom