Wanawake nashindwa kuwaelewa

Wanawake nashindwa kuwaelewa

Hawajui kuna magonjwa yana ingia kwa kuto vaa pichu, hahahahaaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dada kigoma joto vipiiii
Kama ni.kgoma usishangae kawaida sana kwao tena hata wake za watu mi nilishangaa mpaka nkazoea kitenge tu mtu anatrmbea bila kuvaa kufuli
 
Huyo mmoja uliyemwona ndio ikufanye 'useme wanawake bana' wanawake ni pamoja na mama yako
 
Habari kama hii bila kapicha ni sawa na pilau bila kachumbari
Kama hii?
house girl.jpg
 
Back
Top Bottom