Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
"Nahitaji mwanaume ataenijali kwa hali zote,kunipenda kwa moyo wa dhati na kuniheshimu."
"We ndiwe wa pekee siwezi kukusaliti dia na wewe usinisaliti...sawaa?"
"Sijawahi kupenda kama hivi,we ndio mwanaume pekee kuwahi kuukosha moyo wangu."
"We ndio wa pili tokea nimeanza ku date."
ONYO KWA WALE WASIOJUWA HAYA:
Mpende mwanamke kwa dhati na umdhihirishie kwamba ni yeye pekee huhitaji kupenda tena kama kuna rangi utaacha ona.Mwanamke hata awe mpole vipi ukitaka akupende na kukuheshimu ni lazma uwe na uwezo wa kumkanyaga apo chini(kumtawala) kinyume na hili akianza kukukanyaga wewe utajuta hata kwa nini ulipoteza muda kumpenda.Huu ni ukweli ambao wengi wao wataupinga lakini ndio hali halisi.
Ninaongea kwa uzoefu maana nilishawahi kumpenda mwanamke kwa dhati nikaona inavyokuwa na nikabadili mwenendo na kuwa mwanaume nikaona matokeo yake pia.Wanawake ni wa kuongozwa maana hawashirikishagi akili kwenye maamuzi yao zaidi ya hisia ndio maana wamekuwa rahisi kutusaliti na kwa kuwa kusalitiwa ni jambo la aibu wanaume wengi wameona bora kuwaacha mapema kabla hawajasalitiwa matokeo yake wametugeuzia kibao kwamba sie tunawaliza.Wanawake sijui mnaifutaje dhambi ya uongo na kuiacha maana kinachowaponza ni hicho tu.
Fikiria tu mtu akupende kwa moyo wote,akupe kila kitu halafu wewe kwa ujanja ujanja umzunguke na kulala na mwengine ukiulizwa sababu ilikuwa nini ooh nisamehe nilipitiwa na ibilisi kwa tamaa zako za kijinga tu? Huyo mwanaume mwenye kuvumilia aibu hiyo kila uchao anapatikana wapi? Then ukishatafakari hilo vizuri utajua nani aanze mabadiliko ili hali iwe shwari.
Leo hii mwanamke anataka afanyiwe majukumu yake na aliye mwanaume wake iwe wa ndoa ama mchumba hebu kina dada jifunzeni hata kwa bibi zenu jinsi mwanaume anavyotakiwa kutunzwa basii,Badilikeni kwanza na pengine wanaume watarudisha imani na wengi wenu hamtalizwa tena.
Vinginevyo hamna namna nyingine!