Alex Dennie
Senior Member
- Aug 31, 2013
- 112
- 44
Jamani kiukweli suala hili limetokea takriban mara 100 kwa macho yangu,mwanamke akiona mwenzie anatoka na jamaa fulani hapendi,lazima aone wivu...haya juzi hapa nimepata demu mkali,kuna rafiki yake mmoja hapendi,hatusalimiani mpaka leo kisa namtifua rafiki yake...ukipita na demu wako lazima wasonye..yaani wana wivuuuu tofauti na men
Hahahaaaa...hamna man..mimi nafurahi jamaa anaenda kuvunjabila shaka we nawe ukimuona jamaa ana demu, unalia machozi ya damu.
Sure bro..thanksUshawaita wanawaake mkuu.
Sasa unashangaa nini??
They are simply being women.............
Nipe huyo rafiki yake maana nimejawa na machunusi kibao usoni japo yapungueJamani kiukweli suala hili limetokea takriban mara 100 kwa macho yangu,mwanamke akiona mwenzie anatoka na jamaa fulani hapendi,lazima aone wivu...haya juzi hapa nimepata demu mkali,kuna rafiki yake mmoja hapendi,hatusalimiani mpaka leo kisa namtifua rafiki yake...ukipita na demu wako lazima wasonye..yaani wana wivuuuu tofauti na men
NakujaNjoo hapa tumtafute mchawi Wana MMU tujadili, ni nini chanzo cha Wivu. Mtu afanye nini kukabiliana na Wivu. - JamiiForums