Ikitokea mwanamke kakufuata usimnyime, hiyo ni sunnah! Kumbuka ni vigumu mwanamke kumtafuta mwanaume.Duh,ni ngumu kumeza,miezi 6,halafu kwa sasa nina mwingine
Ikitokea mwanamke kakufuata usimnyime, hiyo ni sunnah! Kumbuka ni vigumu mwanamke kumtafuta mwanaume.Duh,ni ngumu kumeza,miezi 6,halafu kwa sasa nina mwingine
Lakini bado anaweza kumtuliza na meso piaMwambie Meso upendo umehamia kwingine
Aisee mkuu bweke naomba kwa hisani yako humo ulikoweka XX jaribu kutumia herufi sahihi uwapo humu.Xaxa mpe nafasi
Huyo dada wa mleta mada huoni alivyoandika?pole lakiniAisee mkuu bweke naomba kwa hisani yako humo ulikoweka XX jaribu kutumia herufi sahihi uwapo humu.
Ni ombi tu mkuu wengine tunakereka sana na muandiko wa hivi maana nikiona mtu anaandika hivi basi kichwani huwa inanijia picha hadi jinsi muhusika alivyo.
Mkuu umeongea pointi kubwa sana hapa.Kategeshewe mimba tu