Wanawake na vituko

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,983
Miezi 6 iliyopita nilimtokea Dada mmoja,lakini akanizengua sana
Akadai hanipendi,na hataki kuwa na mimi
Sikukata tamaa,kama wanaume tusivyokubali kushindwa,lakini nilikataliwa kata kata, licha ya kumnunulia vizawadi vya hapa na pale vyote alikuwa anavitupa chini na nikimpa rafiki yake ampelekee anavirudisha na kudai hataki vizawadi vyangu

Siku ambayo nilikata tamaa ni siku ambayo aliniambia sina hadhi ya kuendana naye,nikakata tamaa,nikaamua kuacha


Baada ya miezi 6,Leo mchana amenitext wa "Hi"
Nikapiga kimya,usiku huu ,tunasalimiana vizuri lakini nashangaa kuwa ombi langu ndo analikubalie Leo,imagin kwa lugha ule na miezi 6 baada
Sijaendelea kuchat zaidi,maana hapa nilipo nina mwanamke mwingine

Nawaza sijui nimblock,nawaza sipati jibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake Mungu anatuona. Huyo katendwa anatafuta pa kusahaulisha maumivu au vyuma vimezidi kukaza kavikumbuka hadi vile vizawadi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Xaxa xi umjibu kama umekubali kumpa nafaxi
 
Na imoj Zak hizo nawasiwasi nawewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake Mungu anatuona. Huyo katendwa anatafuta pa kusahaulisha maumivu au vyuma vimezidi kukaza kavikumbuka hadi vile vizawadi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nimeona hilo. Inaoneka mwanzoni alikuwa anamuwekea jamaa mashauzi sababu alikuwa na mtu. Sasa naona yamebuma ndio anarudi kwa kasi.. anataka kumfanya mchizi kipoozeo
 
Sema mkuu si anakuita kaka huyo ungemwambia Dada mie kaka ako ujue jiheshimu.[emoji23]
 
Mkuu hujui kama agenda/vipaumbele vyetu vya sasa ni reli na pangaboi?

Hatuongezi mishahara
 
Hata mimi nimeona hilo. Inaoneka mwanzoni alikuwa anamuwekea jamaa mashauzi sababu alikuwa na mtu. Sasa naona yamebuma ndio anarudi kwa kasi.. anataka kumfanya mchizi kipoozeo
Ndiyo maana yake
 
Wanawakee miyeyushoo wanaishii kwa ku cremu.....mana unapomu approach unakuta una mapenzii nae ya dhatii na kuanza kusumbuaa kutokana wakizaniii wanaume wote ni wale wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…