Wanawake na vitambi

Duh......mkuu hii sasa kali...hapo kwenye lijitambi ndo kuna kila kitu.....!!kifua hapo hapo...mgongo hapo hapo....kalio hapo hapo, basi sio ajabu na mapaja yakawa hapo hapo

Doooh sasa kama kiroba cha pumba kimesimamishwa.
 

Hahaa asee kali hii
 
Nafurahi kuwa na kitambi

Utafiti mpya wa kisayansi unasema kuongezeka uzito na kuwa na kitambi kwa mwanamke kunapelekea uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya matiti. Wewe endelea kunenepeana.
 
Utafiti mpya wa kisayansi unasema kuongezeka uzito na kuwa na kitambi kwa mwanamke kunapelekea uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya matiti. Wewe endelea kunenepeana.

niache ninenepeana na enjoy kuwa mnene hio saratani ipo tu hata kwa vimbau mbau
 

Hahahaha!!Duh!!Kazi kweli kweli!!
 

Ukimuona mwanamke anakitambi ujue hajipendi alafu pili ni mlafi!
 
niache ninenepeana na enjoy kuwa mnene hio saratani ipo tu hata kwa vimbau mbau

Ni sawa na kusema ukimwi upo tu hata kwa wasio na wapenzi kwa hiyo ni ruksa kungonoka utakavyo.
 
Sipendi kitambi ,iwe anacho mwanamke au mwanaume.
Ila kwa wanawake hatuna jinsi ndiyo wamejazana wenye vitambi ndiyo hao hao inabidi kuwatusua tu.
 
Wengine hawakuweza kufunga matumbo baada ya uzazi
 




Kwa kweli hata mimi hii uwa inanishinda kuamini. Kwa nini kina dada mnaendekeza vitambi? Mtu bado kijana na haujazaa unakuta ana mtambi dizaini ya Le Mutuz, je ukishika ujauzito si utamfukuza mumeo nyumbani? Kwa kweli inaudhi sana, utaona demu mzuri kakaa shida inakuja pale anaposimama....hamu yote ya kuendelea kuongea naye inakwisha. Inakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…