Wanawake na vitambi

Sina hata mpango wa kujisumbua kukitoa,nyama choma na bia nimwachie nani,kwani kuna atakaenidai kikiwapo

Unajifarij kwa kauli za kujihakiki bt inside you hukipend na unataman mno kukitoa sema tu mission impossible...bt kiukweli kinakukera na kukuondolea kujiamin
 
tambi rahaaa ukivaa top ukiweka na mkanda lakaa sawa bhana ukute na mr nae ana tambi raha

haki sawa kote kote....ndevu nazo siku hizi kibao

Ndugu sio fresh kuwasema sistazetu kwa style hiyo. "Women are the mothers of creation"
 
nahisi vinasababishwa na nyama choma za mara kwa mara,pombe na kutofanya mazoezi
i thnx God mi flat screen......lolest
 
Unakuta mwanamke ana ktambi then kavaa kitop kinambanaa ukiangalia mtumbo ulivo.... hata kama nlikuwa nna ham. Inakata.. fanyen mazoez, punguzen minyama... kitamb kinatoka ila kinahitaj juhud

Alafu tumbo linaonyesha ile minyama yenye michirizi yani ham inakatika kabisa.
 
Tatizo wadada mnaoenda sana chipsi ndo maana mnaoata vitambi.. Vinaboa
 
tambi rahaaa ukivaa top ukiweka na mkanda lakaa sawa bhana ukute na mr nae ana tambi raha

haki sawa kote kote....ndevu nazo siku hizi kibao

ha ha ha...hii 50/50 tutapata kazi.
 
Mazoezi na kuzuia/control mlo. Misosi ya mafuta ipunguzwe,sio mtu anafakamia chips kuku sahani 2 na kitimoto kilo,soda kisha bavaria 2.
Jamani kaka km huyu dada anakuwa na tumbo la aina gani kula vyote hivi kwa mara moja tunapigana hakuna anayevifurahia
 
Last edited by a moderator:
Jamani kaka km huyu dada anakuwa na tumbo la aina gani kula vyote hivi kwa mara moja tunapigana hakuna anayevifurahia

Wadada wa mjini ogopa. Wanakula kwa kukomoa,unamkaribisha msosi wa mchana au unatoka nae sehem,anaanza na soda wakati kitimoto na chips zinaandaliwa,akimaliza kula anaagiza bavaria za kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hawafanyi mazoezi full stop. Watz hatina destuli ya kufanya mazoezi kila siku
 
Wadada wa mjini ogopa. Wanakula kwa kukomoa,unamkaribisha msosi wa mchana au unatoka nae sehem,anaanza na soda wakati kitimoto na chips zinaandaliwa,akimaliza kula anaagiza bavaria za kutosha.
Hahahah! ni hatarii kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…