Hivi ni kwanini huwa mnashindwa kukaa sawia katika usafiri wa bodaboda mpaka mnaamua kukaa upande? Hamuoni kuwa mnahatarisha maisha yenu kwa kiwango kikubwa hata kwa ajali ambayo ingeweza kuepukika?
Madereva wa bodaboda si wazingatiaji wa sheria barabarani, ni watu wa kuchepuka kwingi. Huwa nahurumia sana vichwa vyenu hivyo mnavyovipamba na wigi bila helmet.
Hebu badilikeni
Madereva wa bodaboda si wazingatiaji wa sheria barabarani, ni watu wa kuchepuka kwingi. Huwa nahurumia sana vichwa vyenu hivyo mnavyovipamba na wigi bila helmet.
Hebu badilikeni