no new under the sun kukataza suruari sawa na vita ya wamarekan na wa viethnam mmarekan akiua mmoja wa viethnam wana kuja mia mbili . sasa ni kuacha tu ila chunga nduguzo wasingiwe na pepo huyu.
ha ha ha ha huyu chizi mbona msafi sana wa mitaa gani?INATEGEMEA...........
Habari zenu wana Jamiiforums,
Nina swali ambalo linanitatiza kwa wanawake na mabinti.Kwa miaka ya karibuni wanawake na mabinti wengi wamekuwa wakipenda sana vazi la suruali na kila mwanamke ili ajione amependeza lazima atupie suruali, swali ni kwamba suruali ndio zinafanya mpendeze sana tofauti na mama na bibi zenu? Na je hapo mnautukuza mfumo dume ambao mmekuwa mkiupinga kwa muda mrefu au? Kwanini suruali ndio limekuwa vazi lenu pendwa sana?
ni tabia za kimalaya. mwanamke anyejitambua hawezi kuvaa suruali tena ya kumbana. unakuta mwanamke mwengine ana zigo la maana nyuma anavaa suruali ya kumbana mpaka chupi inaonekana. halafu chupi yenyewe nyeusi!!!! basi ni mitahani tuliyonayo sisi wanaume.
Kam vitu huelewi kaa kimya ,unaelewa maana ya jinsia au inaandika kwa sababau ulisikia mkeo anatamka! Mavazi ni utamduni tu hauna uhusiano na jinsi ya mtu ,kwanini mwanaume wa Kisukuma akisuka ataonekana wa ajabu ,lakini Masai sawa! Mbona Yesu alivaa Kanzu ,lakini kwa kuwa utamaduni wa kizungu ndio uliiteka imani ya Kikristo leo hii makanisani watu wanavaa Kizungu! Kwani Wswazilnd wanaume wanajfunga kanga ni wajinga .Kuna Wskotish wanaume wanavaa Sketi !
Umalaya ni kuvaa suruali??toka lini au umalaya ni wewe na tamaa zako?unazoom makalio ya watu ili iweje??😕
ndiyo vazi letu nzuri la kuficha miguu membamba ya kichaga.... sketi ndefu na shepu zetu hazipendezi kidogo ukivaa suruali kitako kinatoka kihips kinatoka
Amelaaniwa avaaye mavazi yasiyo ya jinsia yake
ndiyo vazi letu nzuri la kuficha miguu membamba ya kichaga.... sketi ndefu na shepu zetu hazipendezi kidogo ukivaa suruali kitako kinatoka kihips kinatoka
Kweli kama mtu umejaliwa umbo zuri bana kuna suruale mtu ukivaa unapendeza mno asikwambie mtu sisi wanaume ndo tunaona..alafu zinakufanya unaonekana sharp, na flexibleMi napenda sana suruali mana zinaonyesha hips na wezere and i like attention wherever i pass napenda sana especially skin