Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,859
- 36,172
Wadau,
Hakuna kitu kinakera kama mtu mnakubaliana siku fulani na muda fulani mnaonana alafu yeye hatokei, unapiga simu hazipokelewi wala sms hazijibiwi.
Hivi wanawake huwa mnawazaga nini kupotezea watu muda, kama huna nia ya kuoanana na mtu why udanganye.
Kuna wakati hii hali ilikuwa inanipa shida sana, ila siku hizi huwa siziweki hizi ahadi kichwani. Msichana akinambia anakuja siku fulani hata siumizi kichwa kabisa, naendelea na ratiba zangu nyinginezo.