Wanawake Na Picha Za Utupu!!

Duuu, hatariii.

Lkn kila mtu na akili yake imtumavyo.

Mungu atujaalie salama
 
...eti baadhi yao wanadai kuwa "hakuna raha zaidi ipatayo mwanamke kama kuonyesha utupu wake.."



...mshiriki wa shindano la Redd¡¯s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba (20) jukwaani

 
ila kuna K zingine zinatisha asee,utadhani rapurapu la nyama...aafu ndo unakuta wameweka pozi la kujiaminiii.

hahaha sasa asipo jipigia promo mwenyewe nani atampigia promo?
 
Kwa jinsi mitandao ma teknolojia inavyokua haya mambo yataendelea kuzidi siku hadi siku
 
raha gani mkuu,.

Wengine ni kama wazazi wako!!

Je upo tiyari kuuona utupu wa mzazi wako?

kwanza kwa yeye kuvaa nusu uchi tayari kashanifanya nisimuheshimu basi hapo hamna tatizo naangalia kwa raha zangu...sii kashindwa kujiheshimu mwenyewe
 

kawaida tu..
 
...eti baadhi yao wanadai kuwa "hakuna raha zaidi ipatayo mwanamke kama kuonyesha utupu wake.."



...mshiriki wa shindano la Redd¡¯s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba (20) jukwaani

mambo ya swimming mavazi..
 
...kweli Biashara ni Matangazo! tazama huyu florah lymo anajifanya eti ni kioo cha jamii, "ambae ni mwandishi wa Mtandao wa Kijamii wa mambo ya Urembo, amejipiga Picha Hizi na Kuzianika kupitia Blog yake."



MAMA MTUMZIMA MIAKA 50 KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZIRUSHA MITANDAONI!





MASIKINI WA MUNGU DARASA LA SABA AKAPATA BAHATI YA KWENDA MAJUU UNGETEGEMEA ANGEENDA SHULE LAKINI NI VIGUMU SANA KUMFUGA KUNGURU!! WAZUNGU WALIMUONEA HURUMA WAKAMTOA KWENYE KULIMA KAHAWA NA KUMPELEKA MAJUU LAKINI NI KICHWA CHA PANZI

 
kbm ndo huyo anaye host flora show kinarushwa star tv???
 
Last edited by a moderator:
Wanawake ndo waathirika wakubwa wa mambo ya kuiga,wanaona raha kufanya kama wanavyofanya akina nick minaj waache waendelee na wengi wao wako kwenye biashara,na wanaoongoza nia wanawake wa bongo muvi na wanafunzi wa vyuoni,na wasanii wa muziki hawa wa bongo muvi naona siku hizi hailipi so wameona wajiundie vimiradi kama hivyo vya kuwafanya waishi
 
unapoongelea wanawake unakua umegeneralize sana mkuu, sema ni baadhi ya mademu. Mwanamke ni mtu anayejiheshimu na kuthamini utu wake kamwe hata kama ni mkeo hawezi kukubali kupiga mapicha ya ajabu ajabu kunako faragha. Wanaofanya hivyo ni watu ambao wana low self esteem!
 
Duh omba hii thread asiione Agness Masogange maana PM utakuona kuchungu watu na vipaji vyao km Messi na soka utaogeshwa tindikali mpwa.
 
Ujinga mtupu! Wengine ni kutaka umaarufu kwa nguvu
 

Kiama kimekaribia na dalili moja wapo ni hii, kama utaweza kukemea ni vyema zaidi, maana tunakoelekea ni kubaya zaidi, tumuombe Muumba wa Mbingu na ardhi atuepushe na hizi laana kwa vizazi vyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…