Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
kubadilisha gia angani ndo mpango mzima!
ulipanga kuwa unapanga Boeing sawa ,ukikuta uwanjani kuna BOOMBADIER kwea aiseee itakutoa hapo ulipo utaunganishia boeing mbele kwa mbaele hata Tanga ila la msingi ni kuwa hujabaki Airport na visa yako!
uko poa lakini?
hahahaha mbavu zangu......nipo poa sana mpendwa.......maisha kubadilika kwa njia sahihi ukibaki na msimamo utayaona yapita kama upepo