Wanawake na mvua!

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Katika kufuatilia nimegundua baadhi ya wanawake wana tabia ya kupenda kunyeshewa na mvua,hivi ni kwanini ?
 
Dah... Kuleteana picha zingine zisizo kabsaaa
 
Ni raha tu yani...hata me jana nilikuwa nasikia raha kunyeshewa ,
 
Mwili wa mwanamke ni kama wa bata. Anavyofurahia bata ikiwa inanyesha mvua hivyo hivyo na mwanamke. Unajua wanawake huwa wanajikinga kwa sababu ya aibu but wanaenjoy sana akiwa ananyeshewa.
 
Si kwamba wanapenda kunyeshewa ila ni kutokana na uwajibikaji wao wanalazimika kunyeshewa ukizingatia kuwa wao ndiyo tegemeo la kwanza kwenye maswala ya kuhudumia familia majumbani hivyo lazima wakimbizane na muda regardless of weather changes, sijapata kuona mwanamke anaamua tu kuzurura mvuani bila sababu labda awe na hitilafu kichwani
 
wanaenjoy kuonekana wameloa ili kutake attention ya wanaume..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…