Babe kumbe mbahili😅😅😅D
Daaah mkuu umeamua umuite babe wangu aje asomee hii au sioo😅😅😅😅
Babe kumbe mbahili😅😅😅D
Daaah mkuu umeamua umuite babe wangu aje asomee hii au sioo😅😅😅😅
🥹🥹lijituHabari wakuu!
Siku hz unakuta wanasema haki sawa ktk njanja zote. Sasa ktk familia unakuta mwanaume ana kazi isiyo ya kudumu yan tenda na mke amebahatika kupata kakazi ka maana lakn utakuta mwanamke anaomba hela ya matumizi kwa mumewe wakat anajua kwamba hana hela sometimes na akinyimwa lawama nyingi.
Kwa upande wangu ni kwamba zaman kdg ilikua ni kwasabab mwanamke hana kaz lakini ck hz lijit lina kaz bd utaskia, 'naomba pesa ya kusuka.'
Na anajua mumewe hana hiyo pesa, yani mwanaume apambane kula ya familia,apambane kusomesha watoto, apambane kuwapa mahitaj muhimu bado ampe m2 hela ya kusuka wkt yeye ana hy hela.
Duuh iv hz pesa zao huenda wapi? Huu ni mtazamo wangu. Nawasilisha?
Ngoja tusubirieeI hope next weekend
Siwezi kuwa mbahilinkwa mtu nimependae babe 😍😍😘😘Babe kumbe mbahili😅😅😅
Sio wewe babe hii post ni ya zamani sanaa🥹🥹lijitu
Amna mh kwa maelezo ayoNgoja tusubiriee
Siwezi kuwa mbahilinkwa mtu nimependae babe 😍😍😘😘
🤣🤣🤣🤣Sio wewe babe hii post ni ya zamani sanaa
Babe niamini basii!!Amna mh kwa maelezo ayo
Babe unancheka sioo??😊😊🤣🤣🤣🤣
Nimekuamini babe😜Babe niamini basii!!
I miss you 😍😍Babe unancheka sioo??😊😊
Napenda mwanaume wa kubembeleza iviBabe niamini basii!!
Sawa love ❤️Ngoja nije pm baadae au unasemaje my sweery