Saloon hizi zina mambo............................
"Shoga unamuona yule kaka alivyo mzuri, yaani ana sura nzuri utadhani mwanamke." Alisema cacico -Hapa alimsema X HB wake
"Mwenzangu hayo macho je? Mwanaume ana macho mazuri kama nini, na kifua chake mmekiona? Na huo ndio ugonjwa wangu….." Alidakia BADILI TABIA
@Remmy alidakia...... "Ni mzuri ndio, lakini kizuri hakikikosi kasoro?" Hapa wanamsema Bishanga )
Wale wenzie wakamuuliza ana kasoro gani?
"Hana kazi mwenzangu..........Yuko mtaani tu na anashinda vijiweni na jioni utamkuta uwanjani anajifanya kocha anafundisha mpira timu ya watoto wa hapa mtaani........... " Alijibu yule dada.
"sasa hiyo ndio kasoro?" Yummy alidadisi........
"Hee, mwanaume asiye na kazi atamtaka nani? Nani atamtaka mwanaume suruale........" sweetlady alijibu kisha wote wakacheka kwa pamoja kwa kebehi................
Duh, mazungumzo yale yalinifanya nitafakari.... Hivi siku hizi mwanaume asiye na kazi huchukuliwa kwamba ana kasoro!
Nilibaki mdomo wazi.
Heheheee umeibuka bro?Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika
Hahahaaaa na watutolee maumbea yao lolUkitaka kujua vifua vya wanawake basi jibanze kwenye Saloon.
Nasikia walituma maombi ya kutaka kuwekewa jukwaa lao la Urembo, Mods wakashitukia litakuwa ni la kuchapa umbea wakawatolea nje......... walikasirikaje!
Hehehee watakuwa wakali hao lolNgoja waje wenyewe, utasikia watakavyosema................
Teh hivi lile jukwaa huwa lina Mod?Hebu ngoja niende kwenye lile jukwaa la matangazo ya kazi niangelie ni wanaume wangapi wanaotafuta kazi kisha niunganishe dot (Wana kasoro)