Wanawake na matiti

Wanawake na matiti

8.jpg

Im about to ask...uko makini kijana! Tukikutana tena kwenye kikao cha kamati ya utendaji kukupandisha mshahara itakuwa ni moja kati ya mambo tutakayojadiliana na wakurugenzi!
 
Wanao nyonyesha siwezi walaumu sana,lakini siku hizi imekuwa nikawaida sana sisi akiba dada kuacha matiti wazi, kuna siku dada mmoja kavaa nguo nyonyo yota nje yaani ule weusi wachuchu unaonekana cha ajabu nikawa najisikia aibu mimi nikajishika kifuani kama najifunika, nikawa natamani kumuambia ajitengeneze lkn nikaogopa nisije jibiwa vibaya....muda si muda akadondosha simu ile ainame aokote,mama yangu maziwa yote yakachomokea nje, watu weweeee alafu ilikuwa mlimani city watu kibao kipindi hicho,dada kwa aibu akawa anajichekeshachekesha. Mambo mengine si ya kuiga kwakweli ni aibu, acha niwe mshamba napiga zangu blauzi mpaka shingoni.
 
ni upendo wa mama kwa mtoto ndo unaosababisha sisis kunyonyesha popote..... ila pia siku hizi mbona manyonyo nje nje lakini kila kona nyonyo lipo juu juu tu
 
Leo kila uzi humu unawahusu WANAWAKE, khaaa!!!!
 
labda awe mzaramo anayeshinda na kanga toka asubuhi hadi jioni. mwanamke mstaarabu na anayejua thamani ya mwili wake hawezi toa matiti yake nje. for my experience wengi wanaweka kitambaa (vinepi ) kwa juu then mtoto ananyonya!
 
naomba kujuzwa hasa hawa mabinti ni kwa nini kabla hawajazaa matiti yao huwa hawataki kutuonesha tuyaone ila wakisha zaa utaona anatoa mbele za watu anaanza kumyonyesha mtoto, je ina maana wakisha zaa matiti yao hayana thaman tena? tujuzane jamani
Bro ina maana hujawahi kuona manyonyo ya mabinti?au hujawahi kuyanyonya? tena waangalie wale bongo muvi wanavyoyaweka mpaka aibu wajamen mzee kifimbo siku izi wapi yupo
 
sikatai mtoto kunyonya lakini mbona wazazi wetu zamani akitaka kumyonyesha mtoto alikuwa anajisitiri na kanga au kitenge huwezi kumuona anavyonyesha hata siku moja,lakini unakuta mama ametoa ziwa ananyonyesha mtoto kweupe ziwa lote nje

Mambo haya yapo sana Tandale, Buguruni, Temeke, Mtoni kwa Azizi Ali, Yombo kwa Limboa, Manzese, Mbagala, Mwananyamala kwa manjunju na ile mitaa ya Uswazi
Hiyo mitaa niliyoitaja hapo kwa uchache hayo maeneo hawanaga kuremba.
 
Back
Top Bottom