hahahha haya maneno ya wanaume wa vijiweni,sasa kama nina biashara au kazi inayonilipa vizuri nishindwe kujinunulia gari, wewe ulishawahi kumnunulia gari mwanamke? vile usivyoweza na wenzio ndo hivyo hivyo, wanaume wachache sana wanahonga magari,kati 20m ni mmoja, mlio wengi ni chips tu ndo uwezo wenu,